mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,013
- 10,000
Na wengine tunaishi nao lakini hawajitambui kuwa wao ni SOKWE.Na siyo kila sokwe anaishi mbuga ya Gombe, wengine tunao mtaani ila hawajui kufunga vufungo vya suti na wanapiga usingizi kila wakiwa mkutanoni.