reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Pimpin all over the world , Ludacris na Chris brownWe kuna ja rule Busta rhymes na luda cris! Hatari xna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pimpin all over the world , Ludacris na Chris brownWe kuna ja rule Busta rhymes na luda cris! Hatari xna
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38],miye ule pimp niliweka ringtone inaita msg inaingia"dada achana na bwana angu Jacob"[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Cry me a river ya Justin Timberlake wakati inatoka na mimi nilikuwa nimetoka kuachwa na ng'ombe mmoja iliniuma sana aisee!View attachment 2315636
The man was the baddest ,like candy shop kwanza daahhh!Anaebisha na abishe tu ila 50 cent [emoji119][emoji119][emoji119]
Yap ni kweli baada ya jeraha kupona aliendelea kukiweka shavuni kwa ajili ya jamaa yake aliyefungwa jelaSorry mkuu,hakua na jeraha ila alisema ilikua ni sign for his brother aliekua jela
DilemaNELLY alikuwa komesha ya mabishoo dunia nzima . Jamaa ukisikiliza nyimbo zake ndio utajua hata bongo freva ni jina tu lakini asili ya uimbaji imetokea kwa huyu fala . miaka ya 2000 ilikuwa huwezi kuwa bisho bila kumtambua Nelly.
Kisha twende kwenye Window ShopperThe man was the baddest ,like candy shop kwanza daahhh!
50 cent aliichukua game ya hip hop akaiweka anavyotaka kwa wakati ule. Japo weusi wenzie walikuja kumkandia ili aonekane wakawaida.Hahahaha, braza miaka ya 2000's mwanzoni nadhani kwenye HipHop hakukuwa na mtu kama 50 Cent.
50 Cent alishindana na wasanii wa Roc-Nation kama Beanie Siegel na Camron akawakalisha..
Ludacris ni mkali sana, lakini kwa 50 Cent hapana, abaki kushinda na kina T.I.....
Nadhani ile sauti ya kitoto iliyokuwa ianasema OLO MAIYOOO[emoji23]
Hapana,enzi hizo nilikuwa mtoto mdogo sana hata nilikuwa sielewi kinachoimbwa.
Nikawa napenda video yake...
Kule mwisho wimbo unachangamka wanaupiga hadi ngoma,,nikawa nafurahi.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
hUYU PIMBI KAPOTELEA WAPI?Bow wow let me hold you ndio ilinipa demu wangu wakwanza kabisa kutoka pande Tanga raskazone!View attachment 2315641
Nadhani na Ngwea aliimba piaHuyu mwamba kuna ngoma alitoa na demu wake Beyonce, unaitwa "Bonnie and Clyde"... Naikubali sana video yake... Bonge la ngoma
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Acha kabisaa namkubali mnoo...Ile Yuko na Olivia sijui inaitwaje IleKisha twende kwenye Window Shopper
Hapana tulikua tunatoka dar Sasa pale station ndo songi Hilo likawa linapigwa kwenye redio za station achaa kabisaaTabora enzi babos club pale kanyenye cjui kama ulikuwepo!