Ni msanii gani ulizikubali nyimbo zake sana wa US!

Ni msanii gani ulizikubali nyimbo zake sana wa US!

Cry me a river ya Justin Timberlake wakati inatoka na mimi nilikuwa nimetoka kuachwa na ng'ombe mmoja iliniuma sana aisee!View attachment 2315636
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38],miye ule pimp niliweka ringtone inaita msg inaingia"dada achana na bwana angu Jacob"[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
220px-Get_Rich_Or_Die_Tryin'.JPG

Hapa 50 cent. Alifanya nimkubali mpaka kesho. Hasa ile Hustler Ambition imesimama zingine pia ni 🔥🔥🔥🔥
 
Hahahaha, braza miaka ya 2000's mwanzoni nadhani kwenye HipHop hakukuwa na mtu kama 50 Cent.
50 Cent alishindana na wasanii wa Roc-Nation kama Beanie Siegel na Camron akawakalisha..
Ludacris ni mkali sana, lakini kwa 50 Cent hapana, abaki kushinda na kina T.I.....
50 cent aliichukua game ya hip hop akaiweka anavyotaka kwa wakati ule. Japo weusi wenzie walikuja kumkandia ili aonekane wakawaida.
 
Early 90's
Tupac- Keep ya head up, Brenda gotta a baby.
Notorious Big- Juicy, love big poppa.
Craig Mack ft Rampage, Ll cool j, Buster Rhymes- Flava in ya ear remix.
L l cool j- Around the way girl, mama say knock u out.
NWA- Express yourself, straight outta compton.
Poor righteous teachers- Rock dis funk joint.
Naughty by nature- OPP, hip hop horay, feel me flow.
Daz efx- Real hip hop, microphone master.
Run DMC- Down with the king, my adidas.
Lost boyz- Rex, coupes, jeeps, bimaz and benz Renee remix.
Snoop dog- Gin n' juice, what's ma name, doggy dog world.
Dr dre- Still dre.
Ice cube- It was a good day.
Coolio- Gangstars paradise, see you when you get there.
Easy E- Motherf***kin' g's.
Gangstarr- Guru, Smooth, Greg Nice and Dj Premier- DYCK
 
Tabora enzi babos club pale kanyenye cjui kama ulikuwepo!
Tuko tabora pale station twasubiri treni ya Mwanza don't matter inapigwa 2007 sisahau mpk leo nikiuskia nilikua nauimba Kama wangu vile
 
Sonique;
It feels so good
Alive
Sky............... dah, huyu dada walahi!

DMX;
Who we be
Where the hood at
We right here
Here we go again
Ruff riders anthem etc........hiki chuma acha tu.
 
50 cent aliichukua game ya hip hop akaiweka anavyotaka kwa wakati ule. Japo weusi wenzie walikuja kumkandia ili aonekane wakawaida.
Alafu 50 alikalishwa na ja rule akaja kupotezwa na Lili wayne!
 
Tabora enzi babos club pale kanyenye cjui kama ulikuwepo!
Hapana tulikua tunatoka dar Sasa pale station ndo songi Hilo likawa linapigwa kwenye redio za station achaa kabisaa
 
Back
Top Bottom