Ni msanii gani ulizikubali nyimbo zake sana wa US!

Kool and the Gang... Kuna songi lao linaitwa "Let's go Dancing" aisee huwa naupiga sana kwenye sabufa... Bonge la wimbo..

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Noma sana!
 
Yelawolf kabla hajasainiwa na shady , enzi za Trunk Muzik mixtape
 
Upo sasa kabisa mkuu! Huyu 50 alitikisa sana... Ngoma zake ni balaa....

Kuna wakati watu wakazusha kwamba anadate na Olivia... Hahahahaaa, jamaa kwa kuwajibu akatoa kibao kinaitwa "Just Friends" ngoma niliipenda sana...

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu inaonekana mziki umeanza kufuatilia mwaka 2OO3. Before 5O kulikuwa na Ja Rule ila beef ya 5O na Ja Rule ndio ilimtoa Ja mchezoni.

Ja kaanza mziki 1993 ila alikuja ku peak 1998-2OO3 ila alivyoingia beef na 5O ndio akashushwa. Ja Rule had all the hits back to back kama 5O tu. Achilia mbali features tu muhuni alikuwa shida sema 5O wivu ndio ulikuwa unamtesa.
 
Alaf kuna mtu anasema 50 hamna kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…