Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes [emoji91]CAPPADONNA--- Milk the cow
Nilichogundua watu wengi huipenda california love remix, ila mimi naielewa sana ile original version. Ile beat ina ufundi mwingi sana mule.Kwangu ni Changes, Breathin, This life i lead, 2 of Amerikaz most wanted, So many tears, California love remix...Ukiwa na kinu cha maana utaelewa vizuri kwanini nazielewa hizi ngoma.
NELLY alikuwa komesha ya mabishoo dunia nzima . Jamaa ukisikiliza nyimbo zake ndio utajua hata bongo freva ni jina tu lakini asili ya uimbaji imetokea kwa huyu fala . miaka ya 2000 ilikuwa huwezi kuwa bisho bila kumtambua Nelly.
Wazungu wenye mishepu wazuri kinoma halafu wazungu wengi wamejaaliwa mishepu, mfano huyu shakira, kuna iggy azalea au amber heard noma na nusu watamu hadi raha
Nas ngoma yake tamu sana kwangu ni one micWiz Khalifa.
Nas hasa ile nyimbo I Can..
Mimi pia nilikukumbuka kidogo nimtume Chige akutafute lakini nilifurahi jana kukuona doing great baridi kali hope you do too.Prishaaaaaz! Always happy to see you around.....
Mimi naendelea vizuri kabisa ndugu yangu...
Kuna siku hapa katikati nilikukumbuka kweli.
Hope, you're doing well.........
Mimi pia nilikukumbuka kidogo nimtume Chige akutafute lakini nilifurahi jana kukuona doing great baridi kali hope you do too.
Vile uzi unahusu muziki ngoja nikuachie hii usikilize jioni...
Wee Jamaa 😂😂😂 hata kina jay z hao kwa tuzo kwa 50 walikua wachumba tu. Tuzo kubwa zoote 50 kabeba kabla ya kina jay sio hao unaowasemeaHuyo 50 alikuwa na tuzo moja tuu!
Hahahaha, braza miaka ya 2000's mwanzoni nadhani kwenye HipHop hakukuwa na mtu kama 50 Cent.
50 Cent alishindana na wasanii wa Roc-Nation kama Beanie Siegel na Camron akawakalisha..
Ludacris ni mkali sana, lakini kwa 50 Cent hapana, abaki kushinda na kina T.I.....
Anamchukulia poa 50 Cent.. huenda kaja mjua njie ya majira yakeW
Wee Jamaa 😂😂😂 hata kina jay z hao kwa tuzo kwa 50 walikua wachumba tu. Tuzo kubwa zoote 50 kabeba kabla ya kina jay sio hao unaowasemea
Hii album ilikuwa kali sana,bahati mbaya haikuuza kivilee! Kuna ngoma kali kama Rough ft. Yelawolf,The City ft Kendrick Lamar daah hizo ngoma ni balaa
Itakua. Na sahv kahamia kwenye movies nako ni moto anauwasha huko sio poaAnamchukulia poa 50 Cent.. huenda kaja mjua njie ya majira yake
50 Cent ana kipaji na ni humble piaItakua. Na sahv kahamia kwenye movies nako ni moto anauwasha huko sio poa