Ni msanii gani ulizikubali nyimbo zake sana wa US!

Ni msanii gani ulizikubali nyimbo zake sana wa US!

Kwangu ni Changes, Breathin, This life i lead, 2 of Amerikaz most wanted, So many tears, California love remix...Ukiwa na kinu cha maana utaelewa vizuri kwanini nazielewa hizi ngoma.
Nilichogundua watu wengi huipenda california love remix, ila mimi naielewa sana ile original version. Ile beat ina ufundi mwingi sana mule.
 
NELLY alikuwa komesha ya mabishoo dunia nzima . Jamaa ukisikiliza nyimbo zake ndio utajua hata bongo freva ni jina tu lakini asili ya uimbaji imetokea kwa huyu fala . miaka ya 2000 ilikuwa huwezi kuwa bisho bila kumtambua Nelly.

Lil Flip na kibao chake sunshine ft lea je? Jamaa nae bishoo enzi zake hatari
 
Mimi mpaka sasa huwa nasikiliza nyimbo za kitambo za kizungu na mtoni ila za kibongo sizijui kabisa, makavel, scarface, luther vandross, eminem, kylie minogue nk napenda sana nyimbo za kizungu
 
Prishaaaaaz! Always happy to see you around.....
Mimi naendelea vizuri kabisa ndugu yangu...
Kuna siku hapa katikati nilikukumbuka kweli.

Hope, you're doing well.........
Mimi pia nilikukumbuka kidogo nimtume Chige akutafute lakini nilifurahi jana kukuona doing great baridi kali hope you do too.

Vile uzi unahusu muziki ngoja nikuachie hii usikilize jioni...

 
T.I.
artworks-7GNYebrnnlJf-0-t500x500.jpg


No Matter What 🔥
 
Hahahaha, braza miaka ya 2000's mwanzoni nadhani kwenye HipHop hakukuwa na mtu kama 50 Cent.
50 Cent alishindana na wasanii wa Roc-Nation kama Beanie Siegel na Camron akawakalisha..
Ludacris ni mkali sana, lakini kwa 50 Cent hapana, abaki kushinda na kina T.I.....
44F28579-E7EC-4A32-9185-62E7F35F231A.png
 
Back
Top Bottom