Ni msanii gani ulizikubali nyimbo zake sana wa US!

Ni msanii gani ulizikubali nyimbo zake sana wa US!

1. Maino_All the above.
2. Jason Derulo_Whatcha say.
3. Eminen Ft Rihanna_The way u lie.
4. Rihanna_Rudeboy.
5. Not Afraid.
6. T Pain Ft Chirs Brown_Best Love Song.
7. Love me like you do Elli...
8. Nyimbo zote za Iyaz na Owl City.
9. Maroon 5 Ft Whiz Khalifa_PayPhone.
10. Lady Gaga_Alejandro.
11. didy_dirty (am comin home) etc...

kuna babu yangu mdogo hv huwa namkumbuka (R.I.P) ndo alianza kunifanya nipende na kusikiliza music nikiwa mdogo tu wa miaka 13 2007 (nikiwa darasa la 7)!

huo wimbo namba 6 nilihangaika sana kuutafuta. Nilikuwa nausikia toka 2009 kama sikosei nikaja kuupata 2020.

(Sometimes) I feel nostalgic when I listen to songs kwanzia kipindi hicho 2007 nilipoanza kusikiliza music hadi 2012!

muzik wa sasa hivi hauna ladha, hasa bongo fleva nimeacha kufuatilia.
Yaani wimbo haumalizi week unachuja!

OLD IS GOLD AND GOOD!!
 
Case_missing you
Fat joe_ what is love
Miguel _adorn
Mary blige _ I am
Midas touch
Dolly parton _think about love
Ace of the base _all she want
Haddaway_ what is love
London beat_, (nyimbo zote)
Kool and the gang

Chris Brown
*Kiss kiss ft t pain
* deuces
*nyimbo zote za 2012 kurudi
 
Nimeanza kusikiliza music wa mbele tokea niko darasa la pili. You have to trust me. Class kuna wana walikuwa wanasema niimbe hit songs za kipindi kile japo somehow ilikua ni broken English. 😂😂. Nikiwa secondary nilikuwa na daftari imejaa nyimbo na lyrcs za kutosha. Wana wakitaka kudownload wanakuja kwangu wanaazima daftari. Nilivokuja kumiliki smart yenye uwezo nikadownload zote.

Ila chris brown ni hatari sana. Wasanii wa mbele wanajua haswa.
 
Nmepitia replies zote nmesikitika kuona hakuna aliyeongea chochote kuhusu Snoop Dogg, hampo serious.
Kwamba mmeisahau "Thats that ft R Kelly [emoji3]
Labda watu hawamkubali mkuu!
 
Usher Raymond ,luv in this club
Craig David,
Mary j..be without you
Justin timber lake,my luv
Bow wow,lemme hold you,fresh azmizy
Ciara
Yaani ntajaza hapa but inshort mpk Leo ngoma za zamani ndo na nazielewa
 
Back
Top Bottom