ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Watanzania kwenye suala la kuweka kumbukumbu na takwimu tuna tatizo kubwa sana, kuanzia mtaani Hadi serikalini.
Leo nimekaa nimejiuliza he ni msanii Gani wa Bongo Fleva anayeongoza Kwa kurecord trucks nyingi na zilizokuwa released sijaweza kupata jibu, lakini Kwa mawazo yangu anaweza akawa kati ya Hawa hapa chini,
1. Sugu : huyu mwamba ana album zaidi ya 5 Kwa hiyo inawezekana yeye ndo msanii mwenye tracks)nyimbo nyingi
2. Juma nature : huyu mwamba ana album kama 5, labda ni yeye
3. Lad jay D, Diamond, alikiba, kati ya Hawa inawezekana akawemo mmoja wapo.
Ni vema hizi taarifa ziwekwe sawa Ili mwenye kuongoza apewe heshima yake. Kama una taarifa zaidi kuhusu mwamba anayeongoza Kwa kurecord mawe mengi basi karibu utoe mchango