Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 437
- 867
Nimeona, si yule anamwita clam "hensamu boi" wake, yaani ni aibu tupuTalking about huyu...kuna mbibi aloruka stage anajiita Ashura kiuno amekuwa featured kwenye hizi skits za huyu, jamani jamani..tusali tupate uzee mwema. Aibu naona mimi maana yule ni bibi yangu kabisa lakini roles anazopewa ni aibu...tusaidie wazazi jamani tusije wakuta mitandaoni huko wakifanya vitu vya aibu.
Ukiachana na Lavalava, huyu shafii ndie mtu mwengine ambaye analazimisha fani ila talent hanaπBinafsi, kuna huyu wa kujiita Shafii Comedy. In short hakuna anachofurahisha. Ni kama alilazimusha tu kuwepo huko, na watu ambao wameamua kumpiga tafu tu, Hakuna kitu kabisa aisee
View attachment 3188397
Kwako ni yupi unaona kabisa hamna kazi
Leornardo huwezi kumuelewa kama huna D mbili.Mkuu kwa Leonardo hapo ni wewe kitufe chako.. May be huwa unashindwa ku-capture contents zake
πππππ Kuna watu wana talents ila ni wachache mno. Mfano yule mwamba aliokuwa anaigiza skits za kuita uber na ku cancel sijui anaitwa nani ila ni pure talent. Nanga ni pure talent japo simuonagi kwenye hizo standups. Leornado anajitahidi pamoja na Eliud. Wengine hao ni kufosi tu.Mimi pia...hizi standup comedy naona zimeingiliwa tu.
Kwa mwanamke kucheka inategemea nani anafanya hizo comedy, mwanamke akishakuwa na connection za kihisia na mtu flani hata akifanya upumbavu yeye atacheka tu.Alafu hao Sasa ndo wanakubalika kinoma yaaani ijapokuwa Steve mweusi sijawahi muelewa naonaga kama anafosi Mambo
Sa100 na BashitiBinafsi, kuna huyu wa kujiita Shafii Comedy. In short hakuna anachofurahisha. Ni kama alilazimusha tu kuwepo huko, na watu ambao wameamua kumpiga tafu tu, Hakuna kitu kabisa aisee
View attachment 3188397
Kwako ni yupi unaona kabisa hamna kazi
Hio Punch Up ndio iliwapa utajiri kina Mpoki, Joti pamoja na Masanja.Punching up comedy inakuwa inafanyiwa powerful people na watu maarufu katika jamii mfano watawala, matajiri, celebrities, viongozi wa dini hasa mambo yao mabovu na umbea unaojitokeza na kuvuma. Punching down comedy content inakuwa ya watu wa kawaida na masikini na mambo yao ya kawaida ya kila siku.
Kwa sasa wanasukumwa kufanya kile wanachofanya ili kupata views, ili kipato cha mwezi kiwe chenye mashiko (mfano kwa mwezi huu kapata 2.19M views,). Amekosa kabisa kwa mwezi anakunja 4M toka youtube.Alianza na comedy kweli, lakini sasa anaact matusi ambayo kwa comedians wengi wa bongo huita comedy
Hapa naona ni vile hana kinacho mchochea kuwa mbunifu kama awali, maana kama pesa na umarufu tayari anao anachofanya ni kutaka kudumu na hivyo so anacheza na historia ya nyuma (brand aliyetengeneza awali) no new things. Frequency imeshahawa watu wamehamia new frequency na hii hutokea kwa wasani wa music wa zamani kurudi kwenye peak yao ni ndoto hata kama wanajua music.Masanja Mkandamizaji hafai kabisa, jamaa analazimisha mno, angetafuta kazi nyingine tu kwani hata kutangaza hafai.
Hao ni wasukuma mkuu kama walivyo wamasai piaKwahiyo wasukuma sio PIPO mkuu
Huwa nikikutana na posts zake naskip fasta, aibu huwa naona mimiNimeona, si yule anamwita clam "hensamu boi" wake, yaani ni aibu tupu
May be unamwangalia ukiwa home. Ila ukiwa kwenye mabasi na honi za newforce huwa naona kelele zipo nyingi.kuna member aliwahi niambia nisimseme vibaya mtu anayefanya kazi halali inayomuingizia kipato
lakini comedy ni kazi ya sanaa, sisi hadhira tuna haki ya kuchambua na kukosoa
Mkojani sijawahi kumuelewa.
Honestly hanichekeshi mtu kwenye standup kwakweli...mimi ndo kama dada Demi vitufe vyetu vibovu, though kwenye acting Eliud sio mbaya anajitahidi...kwangu mimi Majuto atabakia juu for sure.πππππ Kuna watu wana talents ila ni wachache mno. Mfano yule mwamba aliokuwa anaigiza skits za kuita uber na ku cancel sijui anaitwa nani ila ni pure talent. Nanga ni pure talent japo simuonagi kwenye hizo standups. Leornado anajitahidi pamoja na Eliud. Wengine hao ni kufosi tu.
Standup comedy bado sana hapa kwetu ila acting comedy walauHonestly hanichekeshi mtu kwenye standup kwakweli...mimi ndo kama dada Demi vitufe vyetu vibovu, though kwenye acting Eliud sio mbaya anajitahidi...kwangu mimi Majuto atabakia juu for sure.