Ni msanii gani wa Comedy unaona kabisa hamnaga kazi ila ndo hivyo tu

Ni msanii gani wa Comedy unaona kabisa hamnaga kazi ila ndo hivyo tu

Talking about huyu...kuna mbibi aloruka stage anajiita Ashura kiuno amekuwa featured kwenye hizi skits za huyu, jamani jamani..tusali tupate uzee mwema. Aibu naona mimi maana yule ni bibi yangu kabisa lakini roles anazopewa ni aibu...tusaidie wazazi jamani tusije wakuta mitandaoni huko wakifanya vitu vya aibu.
Nimeona, si yule anamwita clam "hensamu boi" wake, yaani ni aibu tupu
 
Binafsi, kuna huyu wa kujiita Shafii Comedy. In short hakuna anachofurahisha. Ni kama alilazimusha tu kuwepo huko, na watu ambao wameamua kumpiga tafu tu, Hakuna kitu kabisa aisee

View attachment 3188397
Kwako ni yupi unaona kabisa hamna kazi
Ukiachana na Lavalava, huyu shafii ndie mtu mwengine ambaye analazimisha fani ila talent hana😁
 
Mimi pia...hizi standup comedy naona zimeingiliwa tu.
😂😂😂😂😂 Kuna watu wana talents ila ni wachache mno. Mfano yule mwamba aliokuwa anaigiza skits za kuita uber na ku cancel sijui anaitwa nani ila ni pure talent. Nanga ni pure talent japo simuonagi kwenye hizo standups. Leornado anajitahidi pamoja na Eliud. Wengine hao ni kufosi tu.
 
Alafu hao Sasa ndo wanakubalika kinoma yaaani ijapokuwa Steve mweusi sijawahi muelewa naonaga kama anafosi Mambo
Kwa mwanamke kucheka inategemea nani anafanya hizo comedy, mwanamke akishakuwa na connection za kihisia na mtu flani hata akifanya upumbavu yeye atacheka tu.

Ni sawa na Idris Sultan, mademu wengi wanachekeshwa nae sababu ni hendsamu so wana fantasize ila wanaume wengi hawachekeshwi na comedy zake za kitoto. Bora aliamua kuachaga tu.
 
Punching up comedy inakuwa inafanyiwa powerful people na watu maarufu katika jamii mfano watawala, matajiri, celebrities, viongozi wa dini hasa mambo yao mabovu na umbea unaojitokeza na kuvuma. Punching down comedy content inakuwa ya watu wa kawaida na masikini na mambo yao ya kawaida ya kila siku.
Hio Punch Up ndio iliwapa utajiri kina Mpoki, Joti pamoja na Masanja.

They attracted the influential people wakawashika mikono and boom now they are all rich. Watu ambao hawakufanikiwa nadhani ni akina Mac Regan, Wakuvwanga na yule jamaa aliokuwa anamuigiza mzee Mrema.

Ilikuwa ni kawaida kuona akina baba wanawahi kurudi nyumbani mapema Alhamisi ili waangalie Ze Comedy show. That was really attractive type of shit.
 
Alianza na comedy kweli, lakini sasa anaact matusi ambayo kwa comedians wengi wa bongo huita comedy
Kwa sasa wanasukumwa kufanya kile wanachofanya ili kupata views, ili kipato cha mwezi kiwe chenye mashiko (mfano kwa mwezi huu kapata 2.19M views,). Amekosa kabisa kwa mwezi anakunja 4M toka youtube.
1735610948039.png

 
Masanja Mkandamizaji hafai kabisa, jamaa analazimisha mno, angetafuta kazi nyingine tu kwani hata kutangaza hafai.
Hapa naona ni vile hana kinacho mchochea kuwa mbunifu kama awali, maana kama pesa na umarufu tayari anao anachofanya ni kutaka kudumu na hivyo so anacheza na historia ya nyuma (brand aliyetengeneza awali) no new things. Frequency imeshahawa watu wamehamia new frequency na hii hutokea kwa wasani wa music wa zamani kurudi kwenye peak yao ni ndoto hata kama wanajua music.
 
kuna member aliwahi niambia nisimseme vibaya mtu anayefanya kazi halali inayomuingizia kipato

lakini comedy ni kazi ya sanaa, sisi hadhira tuna haki ya kuchambua na kukosoa


Mkojani sijawahi kumuelewa.
May be unamwangalia ukiwa home. Ila ukiwa kwenye mabasi na honi za newforce huwa naona kelele zipo nyingi.
Nahisi targeted audiance sio wenyw kufikiri maraa mbili.
Ni hawa watu wakutoka shamba na kurudi shamba.
 
Winga🤣
 

Attachments

  • 17356201616490.mp4
    15.5 MB
😂😂😂😂😂 Kuna watu wana talents ila ni wachache mno. Mfano yule mwamba aliokuwa anaigiza skits za kuita uber na ku cancel sijui anaitwa nani ila ni pure talent. Nanga ni pure talent japo simuonagi kwenye hizo standups. Leornado anajitahidi pamoja na Eliud. Wengine hao ni kufosi tu.
Honestly hanichekeshi mtu kwenye standup kwakweli...mimi ndo kama dada Demi vitufe vyetu vibovu, though kwenye acting Eliud sio mbaya anajitahidi...kwangu mimi Majuto atabakia juu for sure.
 
Honestly hanichekeshi mtu kwenye standup kwakweli...mimi ndo kama dada Demi vitufe vyetu vibovu, though kwenye acting Eliud sio mbaya anajitahidi...kwangu mimi Majuto atabakia juu for sure.
Standup comedy bado sana hapa kwetu ila acting comedy walau
 
Back
Top Bottom