Ni msanii gani wa Comedy unaona kabisa hamnaga kazi ila ndo hivyo tu

Ni msanii gani wa Comedy unaona kabisa hamnaga kazi ila ndo hivyo tu

Ile Churchill kwa kweli hadi nilienda tu kulala maana hadi anafika mtu wa 4 sijacheka
Ilikuwa inaboa sana.
Mimi nilikuwepo ukumbini ikabidi niangalie maana Hela yangu nisingeweza acha Bure, bhasi saa 6 huko ndio walipanda watu wa ajabu hamna hata kuchekesha hatari Sana mambo ya kutafuta ugali
 
Mimi nilikuwepo ukumbini ikabidi niangalie maana Hela yangu nisingeweza acha Bure, bhasi saa 6 huko ndio walipanda watu wa ajabu hamna hata kuchekesha hatari Sana mambo ya kutafuta ugali
Iliisha nusu saa nzima Kwa kweli hamna chochote
Tulikuwa tumekaa tunaangalia Tv, tukawaonea huruma waliotoa hela zao kwenda kuangalia.
Upuuzi mtupu hakuna comedy pale.
 
Alijaribu jaribu mwanzo na yale masifa ya Kihaya, ila kwa sasa hana jipya.
Nilishangaa huyo anaitwa somebody Joly Master sijui kukuta ana followers kibao Insta wakati hata vichekesho vyake pumba tupu. Nikaona kweli wabongo hawana kazi
Alipo anza alikuwa vzr ukitaka kutrend sio kila siku uweke kitu mwisho wanaishiwa vya kuweka
 
Back
Top Bottom