Ni msanii gani wa Comedy unaona kabisa hamnaga kazi ila ndo hivyo tu

Ni msanii gani wa Comedy unaona kabisa hamnaga kazi ila ndo hivyo tu

Hao siwajui kwasababu nina miaka kama minne mpaka sita hivi sifuatilii haya mavitu. Hatahivyo nimekuwa nikikutana na baadhi ya vichekesho na kwa kuchanganya na vile vya zamani naweza kuweka list ya watu ambao sijaona wanachochekesha
1. Dullavany
2. Joti
3. Steve Nyerere
4. Kuna hawa walioiga staili ya Mwaisa
5. Kuna huyu mwingine anayejifunika blanketi anacheka moja kwa moja
6. Mr Bean
7. Charlie Chaplin


Wachekeshaji ni Mpoki, Mwaisa, McRegan, Ben, John Liver, Muhogo Mchungu nk
Na yombo
 
Comedians Hawa hawajui kuchekesha (kwa mujibu wangu), nimewafollow ili niwacheke wasivojua kuchekesha

@shafii_comedian
Mr mwanya
Mr navy og
Chenjeu
neila (Cheka tu)poor presentation
mzee shayo
Mama chanja
asma_comedian
headmaster
ganslay

Hawa wote ni wavivu wa kulima

To be Continued
Umemsahau mama mawigi
 
Kuna huyu Eliud nilimuona Arusha juzi kwenye standup comedy ya Churchill ya wakenya aliua vizuri tu ila Eric omondi alikuwa wa Kawahida Sana pale jukwani
Ila yote kwa yote kuchekesha kazi Sana Kuna jamaa wale wa Moshi wapo wawili walipanda duh aibu nikawa Naona Mimi mtazamaji
Ile Churchill kwa kweli hadi nilienda tu kulala maana hadi anafika mtu wa 4 sijacheka
Ilikuwa inaboa sana.
 
Back
Top Bottom