Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Nipo Nkamu ๐๐Nkamu ulipo? Ban haijaisha twende kijiweni kwetu ๐น
Merry Christmas to you
Sijachungulia
Ngoja nikachungulie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo Nkamu ๐๐Nkamu ulipo? Ban haijaisha twende kijiweni kwetu ๐น
Shangazi kapotea, sijui ndo likizo sele kamfungia ๐น๐น๐นNipo Nkamu ๐๐
Merry Christmas to you
Sijachungulia
Ngoja nikachungulie
๐๐๐๐Kuna yule anaitwa Ndaro basi tu huruma ya watanzania wamemuacha achekeshe hivo hivo ili mradi asiwe Shoga,jambazi mwizi/kibaka.
Kwenye comedy za picha shangazi anaweza kushika namba moja.Shangazi kapotea, sijui ndo likizo sele kamfungia ๐น๐น๐น
Yaani yule hata nikikutana na clip yake Insta huwa napita kwa haraka nisione clip kwa sababu najisikia aibu na hurumaKuna mmoja namuona huko mitandaoni anajiita sijui nyanda ,sielewi anaowachekesha huwa wanacheka nini haswa.
Au ulikuwa unawaza ada za watoto skuliIle Churchill kwa kweli hadi nilienda tu kulala maana hadi anafika mtu wa 4 sijacheka
Ilikuwa inaboa sana.
Mimi nilikuwepo ukumbini ikabidi niangalie maana Hela yangu nisingeweza acha Bure, bhasi saa 6 huko ndio walipanda watu wa ajabu hamna hata kuchekesha hatari Sana mambo ya kutafuta ugaliIle Churchill kwa kweli hadi nilienda tu kulala maana hadi anafika mtu wa 4 sijacheka
Ilikuwa inaboa sana.
Mbona mama mawigi mnamsahau yule bibi wa kihayaYaani yule hata nikikutana na clip yake Insta huwa napita kwa haraka nisione clip kwa sababu najisikia aibu na huruma
๐น๐น๐นKwenye comedy za picha shangazi anaweza kushika namba moja.
Alijaribu jaribu mwanzo na yale masifa ya Kihaya, ila kwa sasa hana jipya.Mbona mama mawigi mnamsahau yule bibi wa kihaya
Iliisha nusu saa nzima Kwa kweli hamna chochoteMimi nilikuwepo ukumbini ikabidi niangalie maana Hela yangu nisingeweza acha Bure, bhasi saa 6 huko ndio walipanda watu wa ajabu hamna hata kuchekesha hatari Sana mambo ya kutafuta ugali
Itabidi tumpeleke cheka2 angalau shangazi awe popular.๐น๐น๐น
Tusubiri comeback ya kibabe likizo ikiisha
Alipo anza alikuwa vzr ukitaka kutrend sio kila siku uweke kitu mwisho wanaishiwa vya kuwekaAlijaribu jaribu mwanzo na yale masifa ya Kihaya, ila kwa sasa hana jipya.
Nilishangaa huyo anaitwa somebody Joly Master sijui kukuta ana followers kibao Insta wakati hata vichekesho vyake pumba tupu. Nikaona kweli wabongo hawana kazi
Ndio uboya wanaoufanya kina TX Dulla na Leonardo. Nilikuwa follower wao kipindi fulani, unakuta kaweka clips mpaka 3 kwa siku. Mwisho nikawazoea nikaona hawana jipya. Nika unfollowAlipo anza alikuwa vzr ukitaka kutrend sio kila siku uweke kitu mwisho wanaishiwa vya kuweka
Bandama yako ina shida...๐๐ (natania tu)Wengi tu hata yule superstar wenu leonardo sijui.
Au labda kitufe changu cha kucheka kimeharibika.
WanakoseaNdio uboya wanaoufanya kina TX Dulla na Leonardo. Nilikuwa follower wao kipindi fulani, unakuta kaweka clips mpaka 3 kwa siku. Mwisho nikawazoea nikaona hawana jipya. Nika unfollow
Kweli ni ngumu lakini pia ugumu wake unazidishwa na ukweli kwamba content ambazo zingeweza kufanya vizuri wanaziepuka hawazitumii. Comedy nzuri zaidi ni za ku punch up na sio ku punch down.Stand comedy is the hardest Job ever
Sahihi lkn kuna wachekeshaji wanalazimisha gameMkuu huwezi kuchekeshwa na kila mtu
Watu waogopa waki punch up vitumbua vitaingia mchanga...Kweli ni ngumu lakini pia ugumu wake unazidishwa na ukweli kwamba content ambazo zingeweza kufanya vizuri wanaziepuka hawazitumii. Comedy nzuri zaidi ni za ku punch up na sio ku punch down.