Asee yule jamaa hana huruma πππ afu kumbe sijui ni wa kike yule, maana juzi kati hapo kuna mwamba mmoja wakumuita PSL god alifukua makaburi ya miaka ya 90s πππAiseee naona Evelyn Salt alikukazia kinoma!!π€£
Samahani mkuu, heri ya mwaka mpyaHahah unanisingizia mkuuu!
Na kwako pia mkuu!Samahani mkuu, heri ya mwaka mpya
Ni kweli kabisa yaani jamaa anaboa kishenzi mpaka anatia huruma..Hapa naona ni vile hana kinacho mchochea kuwa mbunifu kama awali, maana kama pesa na umarufu tayari anao anachofanya ni kutaka kudumu na hivyo so anacheza na historia ya nyuma (brand aliyetengeneza awali) no new things. Frequency imeshahawa watu wamehamia new frequency na hii hutokea kwa wasani wa music wa zamani kurudi kwenye peak yao ni ndoto hata kama wanajua music.
Labda niko nyuma ya wakati ila kwa nilizobahatisha kuona asilimia 90 wanaongea maudhui ya ngono ngono tu⦠aibu sana. Wanapaswa wafikiri beyond thatStandup comedy za bongo.........
Sijasoma page zote ila kama hamjamtaja jol Masta mmeikosea JF
Wewe ni Mimi?Jol master sio mbaya, First impression/ Personality yake imekaa kicomedy ila contents anazo-deliver ndo awenazo makini, ngono ni nyingi mno. Asibanie hela anazopata aajiri team wamfanyie kazi ya kutengeneza jokes, Akae kiprofessional
Huku ughaibuni comedians wakubwa hawasimami pekeao kuna watu (Team) wako nyuma yao kulinda maudhui ya brand
MkojaniBinafsi, kuna huyu wa kujiita Shafii Comedy. In short hakuna anachofurahisha. Ni kama alilazimusha tu kuwepo huko, na watu ambao wameamua kumpiga tafu tu, Hakuna kitu kabisa aisee
View attachment 3188397
Kwako ni yupi unaona kabisa hamna kazi
Oko sahihi sana.Joti.
Alianza na comedy kweli, lakini sasa anaact matusi ambayo kwa comedians wengi wa bongo huita comedy
Kazi kukenyua tu na mwanya wake kama lango la jahanamMkojani
SijuiWewe ni Mimi?
Punguza hizo stress za madeni uone kama hatakuchekeshaSasa Steve mweusi unacheka nn labda weusi Wake
Umeelewa kinyume, comedy ndio inatakiwa iwe bora sana mpaka iweze kupunguza stress za hadhira.Punguza hizo stress za madeni uone kama hatakuchekesha
Kama una stress nenda kwa wanasaikolojia, kucheka inabidi akili iwe imerelaxUmeelewa kinyume, comedy ndio inatakiwa iwe bora sana mpaka iweze kupunguza stress za hadhira.