Ni msanii gani wa Comedy unaona kabisa hamnaga kazi ila ndo hivyo tu

Asee yule jamaa hana huruma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ afu kumbe sijui ni wa kike yule, maana juzi kati hapo kuna mwamba mmoja wakumuita PSL god alifukua makaburi ya miaka ya 90s 😁😁😁
Eeeh evelyn ni lishangazi Kaka πŸ˜…
 
Asee yule jamaa hana huruma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ afu kumbe sijui ni wa kike yule, maana juzi kati hapo kuna mwamba mmoja wakumuita PSL god alifukua makaburi ya miaka ya 90s 😁😁😁
Hahah unanisingizia mkuuu!
 
Hapa naona ni vile hana kinacho mchochea kuwa mbunifu kama awali, maana kama pesa na umarufu tayari anao anachofanya ni kutaka kudumu na hivyo so anacheza na historia ya nyuma (brand aliyetengeneza awali) no new things. Frequency imeshahawa watu wamehamia new frequency na hii hutokea kwa wasani wa music wa zamani kurudi kwenye peak yao ni ndoto hata kama wanajua music.
Ni kweli kabisa yaani jamaa anaboa kishenzi mpaka anatia huruma..
 
Sijasoma page zote ila kama hamjamtaja jol Masta mmeikosea JF

Jol master sio mbaya, First impression/ Personality yake imekaa kicomedy ila contents anazo-deliver ndo awenazo makini, ngono ni nyingi mno. Asibanie hela anazopata aajiri team wamfanyie kazi ya kutengeneza jokes, Akae kiprofessional

Huku ughaibuni comedians wakubwa hawasimami pekeao kuna watu (Team) wako nyuma yao kulinda maudhui ya brand
 
Wewe ni Mimi?
 
Punguza hizo stress za madeni uone kama hatakuchekesha
Umeelewa kinyume, comedy ndio inatakiwa iwe bora sana mpaka iweze kupunguza stress za hadhira.
 
Kama una stress nenda kwa wanasaikolojia, kucheka inabidi akili iwe imerelax
 
Back
Top Bottom