Kwa Tanzania huitaji Kuandika au kutoa Maelezo, huku kwetu hakuna hayo mwengine, kwa hiyo ukisema music maana yake ni secular. Unfortunately kwenu huko lazima utoe Maelezo zaidi kwasababu ya divisions mlizonazo.Samahani. Nakuelewa mjukuu. Watz wengi ni washirikina.
By the way, ni wapi pameandikwa ni secular pekee tunazungumzia?
Hii video ya shinski niliiona hivi majuzi._nilikuja kumfahamu aliporudi kutoka ng'ambo
Muone Nyashi alikotokea na group yao ya Klepto yupo na Collo.
Kwa hivyo mziki wa injili hauna maana kwenu? Mnashabikia wa kidunia pekee? Wanaoziangalia nyimbo za kina gozbert ni wakenyaKwa Tanzania huitaji Kuandika au kutoa Maelezo, huku kwetu hakuna hayo mwengine, kwa hiyo ukisema music maana yake ni secular. Unfortunately kwenu huko lazima utoe Maelezo zaidi kwasababu ya divisions mlizonazo.
Hii video ya shinski niliiona hivi majuzi._nilikuja kumfahamu aliporudi kutoka ng'ambo
Kwa hivyo mziki wa injili hauna maana kwenu? Mnashabikia wa kidunia pekee? Wanaoziangalia nyimbo za kina gozbert ni wakenya
Huyo ni nani?Tunaangali sana gospel mzee desp,huku waislam tunagawana idadi.binafsi nimekuwa nikisikiliza choir za tz tu mpaka ukubwani.
Hizo za kenya na kwingine nimeanza juzi juzi baada ya kuwa na acces na mitandao.sio kwamba wakenya siwatambui,unamjua mtu anitwa KYANDE???
Mtanzania anaskiza nyimbo za Kikuyu? Ama wewe ni mkenyaLabda zile nyimbo za kikikuyu zina beat flan hivi nazipenda!
Pia Erick Omondi anajua.
Mtanzania anaskiza nyimbo za Kikuyu? Ama wewe ni mkenya
Ni ajabu kweli. Kama za kiswahili hamna mtz anayeskza sembuse za Kikuyu. Sikuwa natarajia hiliMimi ni Mtanzania. Ni ajabu kusikiliza?
Huyo ni nani?
Kwetu huku miziki yote ni secular, miziki ya Rose Mhando inapigwa Bar na kwenye kumbi za Disco. Tanzania tulishatoka huko kwenye divisions za kidini na kikabila, "This is UNITED Republic of Tanzania.Hii video ya shinski niliiona hivi majuzi._nilikuja kumfahamu aliporudi kutoka ng'ambo
Kwa hivyo mziki wa injili hauna maana kwenu? Mnashabikia wa kidunia pekee? Wanaoziangalia nyimbo za kina gozbert ni wakenya
Mnaskiza za tz pekee. Wabongo wengi hawajui wasanii ktoka njeKwetu huku miziki yote ni secular, miziki ya Rose Mhando inapigwa Bar na kwenye kumbi za Disco. Tanzania tulishatoka huko kwenye divisions za kidini na kikabila, "This is UNITED Republic of Tanzania.
Naskiliza sana gospel[emoji13][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]halafu wewe ni mkenya,na unasema unasikiliza sana gospel,au umezaliwa 2005???
Hahahaha, Nigerians, South African, Ugandan, Zimbabwean, Zairean Jamaican and USA. Except Kenyan musics, kwasababu mziki wa Kenya upo level moja na Rwanda, Burundi, Malawi, Zambia na South Sudan.Mnaskiza za tz pekee. Wabongo wengi hawajui wasanii ktoka nje
Weee mtu usipende kuanziasha league siziso na kichwa wala miguu, sisi huku kwetu tunakula mziki wowote ule mpaka nyimbo za kina pablo tunapiga home na kitaa tena weekend kama hii ni balaa ukija kutembea next time holla tu hang out mitaa ya kwetu kidogo ujioone punguza kukariri.Miziki kuchezwa kwenye vilabu sio issue, maana nimecheza sana disco kwenye vilabu vyenu na kawaida DJ huchezesha wimbo wowote na tunaruka tu, lakini nachokisema japo mtabishia hadi kuzimu ila mwenyewe nimejionea kwa macho yangu sitegemei kuambiwa, ni vigumu sana umkute Mtanzania amenunua CD anacheza wimbo usio wa Bongo flava, nyie hamna mtindo mwengine wowote nje ya huo mmoja.
Mara nyingi kwenye laptop yangu nilikua naona kwamba nikiwa na Watanzania halafu niweke nyimbo za kimataifa wanakereka japo kimya kimya, hadi pale nitaweka Bongo akina Diamond ndio unaona kila mtu anachangamka, nchi yenu diversity haipo kabsa, mkiingizwa kwenye zizi moja mnajazana humo, hakuna anayeweza kunyanyua kichwa na kuona chochote kingine nje.
Heeehe huwezi linganisha meddy was Rwanda na wasanii wenu.His song slowlyHahahaha, Nigerians, South African, Ugandan, Zimbabwean, Zairean Jamaican and USA. Except Kenyan musics, kwasababu mziki wa Kenya upo level moja na Rwanda, Burundi, Malawi, Zambia na South Sudan.
Heeehe huwezi linganisha meddy was Rwanda na wasanii wenu.His song slowly
Sijui yeyote wa Sudan. Rwanda najua meddy na ambassadors of Christ choir.the only choir I likeKwani rwanda na sudan kuna wasanii kweli!!!
https://nairobinews.nation.co.ke/chillax/tanzanian-songs-watched-youtube-music-videos-kenya/Sijui yeyote wa Sudan. Rwanda najua meddy na ambassadors of Christ choir.the only choir I like