Ni msanii gani wa Kenya anakubalika sana Tanzania?

Ni msanii gani wa Kenya anakubalika sana Tanzania?

Samahani. Nakuelewa mjukuu. Watz wengi ni washirikina.
By the way, ni wapi pameandikwa ni secular pekee tunazungumzia?
Kwa Tanzania huitaji Kuandika au kutoa Maelezo, huku kwetu hakuna hayo mwengine, kwa hiyo ukisema music maana yake ni secular. Unfortunately kwenu huko lazima utoe Maelezo zaidi kwasababu ya divisions mlizonazo.
 
Muone Nyashi alikotokea na group yao ya Klepto yupo na Collo.

Hii video ya shinski niliiona hivi majuzi._nilikuja kumfahamu aliporudi kutoka ng'ambo
Kwa Tanzania huitaji Kuandika au kutoa Maelezo, huku kwetu hakuna hayo mwengine, kwa hiyo ukisema music maana yake ni secular. Unfortunately kwenu huko lazima utoe Maelezo zaidi kwasababu ya divisions mlizonazo.
Kwa hivyo mziki wa injili hauna maana kwenu? Mnashabikia wa kidunia pekee? Wanaoziangalia nyimbo za kina gozbert ni wakenya
 
Hii video ya shinski niliiona hivi majuzi._nilikuja kumfahamu aliporudi kutoka ng'ambo

Kwa hivyo mziki wa injili hauna maana kwenu? Mnashabikia wa kidunia pekee? Wanaoziangalia nyimbo za kina gozbert ni wakenya

Tunaangali sana gospel mzee desp,huku waislam tunagawana idadi.binafsi nimekuwa nikisikiliza choir za tz tu mpaka ukubwani.

Hizo za kenya na kwingine nimeanza juzi juzi baada ya kuwa na acces na mitandao.sio kwamba wakenya siwatambui,unamjua mtu anitwa KYANDE???
 
Hii video ya shinski niliiona hivi majuzi._nilikuja kumfahamu aliporudi kutoka ng'ambo

Kwa hivyo mziki wa injili hauna maana kwenu? Mnashabikia wa kidunia pekee? Wanaoziangalia nyimbo za kina gozbert ni wakenya
Kwetu huku miziki yote ni secular, miziki ya Rose Mhando inapigwa Bar na kwenye kumbi za Disco. Tanzania tulishatoka huko kwenye divisions za kidini na kikabila, "This is UNITED Republic of Tanzania.
 
Miziki kuchezwa kwenye vilabu sio issue, maana nimecheza sana disco kwenye vilabu vyenu na kawaida DJ huchezesha wimbo wowote na tunaruka tu, lakini nachokisema japo mtabishia hadi kuzimu ila mwenyewe nimejionea kwa macho yangu sitegemei kuambiwa, ni vigumu sana umkute Mtanzania amenunua CD anacheza wimbo usio wa Bongo flava, nyie hamna mtindo mwengine wowote nje ya huo mmoja.

Mara nyingi kwenye laptop yangu nilikua naona kwamba nikiwa na Watanzania halafu niweke nyimbo za kimataifa wanakereka japo kimya kimya, hadi pale nitaweka Bongo akina Diamond ndio unaona kila mtu anachangamka, nchi yenu diversity haipo kabsa, mkiingizwa kwenye zizi moja mnajazana humo, hakuna anayeweza kunyanyua kichwa na kuona chochote kingine nje.
Weee mtu usipende kuanziasha league siziso na kichwa wala miguu, sisi huku kwetu tunakula mziki wowote ule mpaka nyimbo za kina pablo tunapiga home na kitaa tena weekend kama hii ni balaa ukija kutembea next time holla tu hang out mitaa ya kwetu kidogo ujioone punguza kukariri.
 
Back
Top Bottom