Ni Mshabiki wa Simba SC Mwendawazimu pekee ndiyo atashingilia Ushindi wa Penati ya Kupewa na ya Kuonewa Prisons FC

Ni Mshabiki wa Simba SC Mwendawazimu pekee ndiyo atashingilia Ushindi wa Penati ya Kupewa na ya Kuonewa Prisons FC

Ushirikina ulikuwepo enzi na enzi. Lakini sisi tuliokombolewa na Damu ya Yesu ya thamani(Simba) tunapinga ushirikina kwa nguvu zote.

Ibilisi hawezi kumshinda Mungu kwamwe. Ni suala la muda tu.
Watu wanafki kama nyie ndio wanakutaga mmekatwa kichwa
 
Naipenda sana Simba SC yangu na natamani tushinde ila siyo kwa Kubebwa ( Mbeleko ) kama hii ya Leo.

Wana Simba SC mtakaonichukia kwa hili nichukieni na mkiweza nitukaneni mnavyoweza ila kwa 100% Ushindi wa leo tumebebwa na Mwamuzi....
Mwandiko wako pamoja na malalamiko yako bado kidogo ufanane na dada yangu GENTAMYCINE
 
Naipenda sana Simba SC yangu na natamani tushinde ila siyo kwa Kubebwa ( Mbeleko ) kama hii ya Leo.

Wana Simba SC mtakaonichukia kwa hili nichukieni na mkiweza nitukaneni mnavyoweza ila kwa 100% Ushindi wa leo tumebebwa na Mwamuz...
Simba ikipewe mbeleko wewe unapata hasara ipi? au unacheza michezo ya bahati nasibu?
 
Tafuteni hela muache kubishania hela wanazogawa wenzenu,,leo GSM kesho METL tuelewene nini Sasa [emoji57][emoji57]
 
We ndio mpumbavu.

Laumu timu haikucheza vizuri.Mwamuzi alifanya kazi yake.
Eneo lile mchezaji anatawanya mikono mbele kama anaogelea,hata mpira ukimgusa,ni makosa na ataadhibiwa kwa nakosa yale.

Je mpira aliushika au hakuushika?
Ni kweli mpira aliugusa.Sasa mwamuzi kwa nini asione ni kosa?Mpira ni mchezo wa makosa,mmeamua kucheza kwenye eneo lenu,epukeni kufanya makosa..baasi!

Usituletee kanuni za vijiweni vya watu mliokosa kazi na mnapata bundle kwa dada zenu.Eti lazima ufunge kwa move!
Hata kumlazimisha mpinzani kufanya makosa ni soka.
Muwe mnaangalia wenye mpira wao sio kuwasikiliza wachambuzi mashoga kama akina priv nyonyo
Naipenda sana Simba SC yangu na natamani tushinde ila siyo kwa Kubebwa ( Mbeleko ) kama hii ya Leo.

Wana Simba SC mtakaonichukia kwa hili nichukieni na mkiweza nitukaneni mnavyoweza ila kwa 100% Ushindi wa leo tumebebwa na Mwamuzi.

Tunapokuwa Kila Siku tunawasema Yanga SC na GSM kuwa Wanahonga Waamuzi basi kwa huu Upumbavu na Upuuzi uliotokea leo nasi Simba SC tukubali kuwa METL nao wameamua rasmi sasa Kuingia Kazini.

Nje ya Kushinda kwa Goli la Msanii wa Injili Rose Ndauka la Nibebeeee...Nibebeeeee... bado hata leo Simba SC yetu imecheza mpira mbovu na usipeleweka hali inayonifanya niamini kuwa huenda Makocha weru ni tatizo au Wachezaji weru Uwezo wao umefikia Kikomo ili tujipange Kufanya Usajili wa maama Msimu ujao.

TFF, TPLB na Kamati ya Saa 72 nawaombeni hata msichelewe Kukaa Kikao cha Kumfungia huyu Mwamuzi ambaye ana jina la Ubini la Simba hivyo yawezekana alitaka Kulifurahisha hilo Jina kwa Kuibeba wazi wazi Simba SC kwa kuipa Penati leo.

Mwanasimba yoyote ambaye atabisha au atanibishia kuwa leo Simba SC tumebebwa kwa kupewa ile Penati iliyotupa Ushindi ajiite ni Mwendawazimu, Mnafiki na hajui Soka bali ni Shabiki Takataka na siyo Mdau na Mdaawa wa Mchezo wa Soka kama tulivyo Wapenda Haki wengine.

Najiandaa sasa Kusoma Comments za Wanasimba Wendawazimu ambao watakuja Kunishambulia hapa JamiiForums baada ya Kusema huu Ukweli.

Mimi ni Bahari huwa sikai na Uchafu!!!
 
Naipenda sana Simba SC yangu na natamani tushinde ila siyo kwa Kubebwa ( Mbeleko ) kama hii ya Leo.

Wana Simba SC mtakaonichukia kwa hili nichukieni na mkiweza nitukaneni mnavyoweza ila kwa 100% Ushindi wa leo tumebebwa na Mwamuzi...
rose ndauka anaimba injili siku hizi?
 
Muda wote unahisi tunafungwa.

Kwa jana kosa kosa za Prison zilikuwa hatari kuliko za Mafowadi wa Simba wanaolipwa mishahara mara kumi ya hao Wenzao.
Kabisa mkuu na unakuta kabisa sometimes timu imepaki basi lakini njia mbadala huwa hatuna ....tunalazimisha Tu vipasi vya penetration.

Pia tunapiga pasi nyingi fupifupi as if tunahitaji kupiga pasi 10000 while tunachohitaji ni magoli. Baadhi ya pasi hazina msingi Kwa mm navyoona maana sio kila mpira lazima aguse manula-onyango-enock-mwenda-shabalala'mkude-mara umerud kwa enonga tena ......too boring ....

Sijui saiv tumekuaje maana tunashindwa kufanya transformation ya haraka tunapokua tunashambuliwa then timu pinzani Ikalose possession ya mpira Sisi tukafanya counter attack Kwa haraka. Maana kama timu imepaki basi muda mwingi na mara moja ikapanda then huo ndo muda wa kuiumiza lakini utakuta tupo slow kuondoka Kwa haraka.

strikers binafsi naona hatuna toka msimu ulipoanza ila Kwa mpira tunaocheza sometimes hata huyo striker kupigiwa mipira ni Kwa mbinde ...unakuta anabaki kama mtalii wa ndani ni mwendo t wa pasi weee mara wamekaba.

Kuna muda unapokamiwa ndo muda wa kuonesha uwezo binafsi kwann unacheza timu kubwa ,unalipwa vizuri ,Una kila mahitaji ya kukufanya ucheze mpira. mchezaji hata kuwapita wachezaji wawili watatu ni tatizo duh 🙌

Mtazamo wangu wakuu wala nisipigwe mawe.
 
We ndio mpumbavu.

Laumu timu haikucheza vizuri.Mwamuzi alifanya kazi yake.
Eneo lile mchezaji anatawanya mikono mbele kama anaogelea,hata mpira ukimgusa,ni makosa na ataadhibiwa kwa nakosa yale.

Je mpira aliushika au hakuushika?
Ni kweli mpira aliugusa.Sasa mwamuzi kwa nini asione ni kosa?Mpira ni mchezo wa makosa,mmeamua kucheza kwenye eneo lenu,epukeni kufanya makosa..baasi!

Usituletee kanuni za vijiweni vya watu mliokosa kazi na mnapata bundle kwa dada zenu.Eti lazima ufunge kwa move!
Hata kumlazimisha mpinzani kufanya makosa ni soka.
Muwe mnaangalia wenye mpira wao sio kuwasikiliza wachambuzi mashoga kama akina priv nyonyo
Nafurahi zaidi kuwajua wana Simba SC Wendawazimu niliowategemea kama Wewe na Wenzako wengi tu ambao nawaona mmekurupuka Kuuchangia Uzi huu.

Na kwa Kujiamini kabisa nasisitiza kuwa Simba SC yangu jana tumebebwa kwa kupewa ile Penati na tumecheza Mpira wa hovyo kuliko Wendawazimu wengi mnavyodhania.

Sijazoea kuwa Mnafiki na Muongo sawa?
 
Ushirikina ulikuwepo enzi na enzi. Lakini sisi tuliokombolewa na Damu ya Yesu ya thamani(Simba) tunapinga ushirikina kwa nguvu zote.

Ibilisi hawezi kumshinda Mungu kwamwe. Ni suala la muda tu.
Mungu hana habari na mipira yenu usimshirikishe kabisa... Yeye katuketa duniani kuja kumuabudu tu.
 
FB_IMG_1643963835731.jpg
 
Nano shabiki wa Yanga mwenda wazimu tu aliyefurahia droo dhidi ya Namungo kule kwetu Lindi
 
Back
Top Bottom