Ni msomi yupi mwenye sifa hizi na bado yuko mtaani hana ajira?

Yani haya maneno yameonyesha wew Ni msomi mjinga kabsaa,
Hvi unafkri employment ndo solution ya umaskini?
Nani alkuambia boss wako anataka utajirike? He just giving you something for your bills only , as you increase your bills ,he also increase a salary and the cycle continues to death!.
Pesa Ipo mtaani kijanaa ,mi skwenda chuo naweza save 1000k per month apart from my expenses na nkiteleza Sana mpak 500k , mpaka Leo nashindwa kwenda chuo naogopaa kuziacha pesa, Mana utajiri upo mbele yangu haf kwa biashara ambayo nikikwambia huwezi amini hta kdogo mzee.
Yani hta doctor mwenyew hanifikii ,namshukuru Allah kwa hlo.
Kwa kifupi una mindset ya kimaskini ,
Itoshe tu kusema hakuna muajiriwa tajiri kwa kutumia ajira yake .
Pesa Ipo mtaani Ni wew na akili yako, SYSTEM zako na the way you can manage your business.
Kasome CASHFlOW by Robert kiyosaki , utanishukuru na utaamini nimekusema vbaya kwa hakika.
Miaka 60 ya ajira, mafanikio:
1.ist 2. Nyumba kwa pesa za mkopo na stress. 3. Pension.
Yaliyompita.
1. Hukupta mda kuishi maisha ya ndoto yako mfano kuwa na vacation ukafanya mambo Kama tourism ,Raising your children as you wish ,instead of being raised by a maid .
2. Kw sisi tunaamini mungu, hukupata mda wa kutimiza zle God's commandments ,e .tc.
3.difficullt in controlling your time ,but being dictated by your boss.
Lakini entrepreneur Ni kinyume na hayo yote na anawza akawa na financial stability au financial freedom Kwa miaka 20 tuu ,Yani akwa anaweza kulala asfanye kazi mwaka na zaidi na pesa inaingia kupitia system alizotengeneza wakati wew employee una hustle miaka 60 ku pay your bills , Yani unatoa umri wako wote Ima kumtajirisha tajiri au kuitumikia serikali ili ulipe bills tu , kwasababu as long as you increase effort on your work it means your are fighting for making your boss rich .
NB : sipingi ajira lakni ajira so ktu Cha kuringia na kusema watu kabsa , Kama mwenye thread alivyojitapa na kudhrau watu wanao mind their own business mtaan Bali ajira Ni lazma for building a community or country coz, we depend on each other.
Lakni unapoanza kuongelea ajira Kama mtatuzi wa umaskini nakushangaa Sana.
I'm done , thank you.
 
Huyo Engeneer na huyo fundi uchundo wa veta unavailable kwa kipimo gani kuginga kokoto au ku-design daraja na vipimo maana wanakazi tofauti.
 
jamaa yako anajikuta nani.
 
Yani bado anaendelea kusema aisee hii dunia ina watu mzee ila sishangai mi nina mwanangu Mungu ndiye shahidi nimemuingiza TPDF ila hadi leo hata kuongea na mimi kwenye simu hataki kila nikiwaza wapi nilimkosea sioni niliona basi isiwe tabu.
 
jamaa maisha kayapatia mkuu, uongo mbaya yuko njema sana, kuna project waliwauzia wachina alikuwa na hisa pia, anapokea dividend ya 200m+ kila mwaka na wana contract ya 15yrs na wachina.

jamaa maisha kayapatia mkuu, uongo mbaya yuko njema sana, kuna project waliwauzia wachina alikuwa na hisa pia, anapokea dividend ya 200m+ kila mwaka na wana contract ya 15yrs na wachina.
aisee kwa hiyo now tunasema ni millionaire kiasi flan.
 
Kuna waliofaulu vizuri sana ila hawana refa, waliofeli na walio na refa wanachukuwa nafasi za waliofaulu ila hawana refa.
 
Yani bado anaendelea kusema aisee hii dunia ina watu mzee ila sishangai mi nina mwanangu Mungu ndiye shahidi nimemuingiza TPDF ila hadi leo hata kuongea na mimi kwenye simu hataki kila nikiwaza wapi nilimkosea sioni niliona basi isiwe tabu.
hao ndo walimwengu mkuu, kuna dogo wa mtaani alimaliza 4 akakaa nyumbani kama mwaka hv, siku nimeenda kumsalimia bi mkubwa akaja kunipa hi, mwishowe akaniambia bro nimeshakaa sana home naomba unilipie chuo cha ualimu private nikasome, nikamuuliza sh ngapi ada akaniambia 850k miaka miwili, nilimpa cash hyo hela, hatuna undgu wala nn, alimaliza chuo na kazi alipata ila hajawai hata kunitumia sms kuwa alishamaliza chuo na kupata kazi.
 
Aya ona sasa ila nilichojifunza ni kitu ambacho kama nimeamua kutoa ni toe tu kama kwa nyakati hizo uwezo sina namuweka mtu wazi tu.

Kwasababu wengi wetu baada ya kutoka katika dimbwi la shida ngumu mno kukumbuka nyuma.
 
Una akili za pimbi
 
Mungu atakulipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…