Sea Beast
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 2,212
- 4,808
Jamaa kamaliza degree ya uchumi GPA ya nne hadi leo anabani CD hapa mtaaniGPA ya ngapi? Alikuonyesha? Muombe akuonyeshe alafu njoo hapa! Hiyo GPA ya Course hipi vileee??? Nacho ni kipengele!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kamaliza degree ya uchumi GPA ya nne hadi leo anabani CD hapa mtaaniGPA ya ngapi? Alikuonyesha? Muombe akuonyeshe alafu njoo hapa! Hiyo GPA ya Course hipi vileee??? Nacho ni kipengele!
Hawaangalii Degree kwahio hapa akiomba wa Form six au asiyesoma Accountant anapataUlimwengu wasasa watu wanaangalia ulichonacho kichwani hawaangali hizo Degree na Gpa za chupi
Yani haya maneno yameonyesha wew Ni msomi mjinga kabsaa,Darasa la saba ulipata wastani wa "A" na ukakosa fursa ya kwenda kidato cha kwanza? Kidato cha nne ulipata Division ONE na hukuchaguliwa kwenda Alevel au vyuo (kama ulichagua vyuo)? Alevel ulipata Division ONE ukakosa fursa ya kwenda Chuo Kikuu? Chuo Kikuu ukapata GPA ya "First Class" au "Upper Second" alafu ukakosa ajira?
Wengi wanaolialia wamesoma wakakosa ajira ni wale vilaza na wanaolazimisha ufauru afifu kuwa wamefauru! Katika Dunia hii ya utandawazi ili utoboe unahitaji viwango vya juu vya kudhihirisha kuwa uko vizuri! Sio unajikusanya na Division two au GPA ya lower au Gentleman alafu unalialia sina ajira! Hizo enzi zimepita mkuu! Ukiona umetupwa nje na mfumo wa ajira jiongeze kivingine!
Nashangaaga kuona mtaani vijana eti wanahusstle kwa kuendesha bodaboda, kupika mandazi, vitumbua, samaki, miogo alafu wanategenea kutoboa kuwa na maisha safi ya kumiliki nyumba nzuri, gari zuri, majina na heshima nzuri ya ukwasi! Thubutu! Utapata ela ya kula lakini umasikini umeishatia timu!
Povu ruksa!
Huyo Engeneer na huyo fundi uchundo wa veta unavailable kwa kipimo gani kuginga kokoto au ku-design daraja na vipimo maana wanakazi tofauti.Hivi kwenye mtihani aliyepata alama 100 % na aliyepata alama 81 ‰ si wote wamepata daraja "A", au nakosea ?
Na kama kanuni inasema kufaulu ni kuanzia daraja "A" hadi daraja "C" kwa maana hiyo aliyepata "A" na aloyepata "C" wote wamefaulu kwa mujibu kwa kanuni ya ufaulu iliyo pangwa, hakuna aliye feli hapo.
Sasa iweje kwenye kuajiri ubague kuwa huyu kafaulu sana huyu kafaulu kidogo hivyo tubague walio faulu sana japo wote wamefaulu.
Any way tuachane na hiyo, chukua hii "Je unajua kuwa uwezo wa utendaji unaonekana zaidi kwenye field kuliko kwenye haya ma GPA ya kwenye makaratasi " ?
Leo hii mchukue injinia wa chuo kikuu mwenye GPA ya 5 ya kwenye makaratasi alafu mchue na VETA wa darasa la saba wapeleke kwenye field uje unambie nani ataonekana kilaza kwenye field kama siyo huyo injinia mwenye GPA ya 5.
Utendaji kazi haupimwi kwa GPA ya 5, watu tunakariri tu na kwenye paper tunaenda tunatusua lakini kumbe tulikariri.
jamaa yako anajikuta nani.hatujawai kufanya kaz sehemu 1, ile kampuni niliyomuunganishia kaz ilikuja ikauzwa, directors walimake hela nyingi sana, mmoja akafungua kampun nyingine akamfanya country manager, anamlipa vzuri sana, aisee huyu jamaa, kuna siku bwana kanipgia, oya wapi hyo? mm home, vp lkizo au? mm yap, aksema afadhali bwana kuna kimeo cha siku 10 hapa nilitakiwa nisafiri kama vp ukakifanye basi, nikamuuliza utanitoaje, akajbu 250usd/dy, nikamwambia poa, yy nakutumia detalls basi uandae work program na budget, nikaandaa nikamtumia, akawa kimya tu, siku nakutana naye ananiambia aisee ile kaz uliandaa poa sana, ila nilimpa dogo mmoja akaenda kuifanya, kuanzia siku hyo sijawai pokea simu yake
Yani bado anaendelea kusema aisee hii dunia ina watu mzee ila sishangai mi nina mwanangu Mungu ndiye shahidi nimemuingiza TPDF ila hadi leo hata kuongea na mimi kwenye simu hataki kila nikiwaza wapi nilimkosea sioni niliona basi isiwe tabu.wacha tu, kuna mwamba alikuwaga slow lena mbaya, yaani nilikuwa natumia muda mwingi sana kumfundisha, alitoka na lower second, alipata kaz kabla yangu akawa anaongea shit sana juu yangu kuwa nilikuwa najiona kipanga ila nipo mtaani, huku na huku akawa kaharibu jobun kwake wakamfukuza akawa yupo mtaani ila ananikwepa sana, siku moja nikampigia nikamwambia tuonane, tukapiga kit moto na mbili tatu, nikamwambia aje jobuni kwangu, jobuni kwangu kuna hr aliacha kaz baada ya kupata sehemu nyingine, jamaa alipokuja nikamuuliza una cv? akajbu ipo kwenye flash, nikapokea flash nikaprint ile cv nikamwambia twende, tukaenda kwa yule hr, kufika tulisalimiana tu nikamwekea cv mezan nikamwambia mkuu naomba umpe huyu jamaa yangu kaz, yule hr aliniangalia akatingisha kichwa, akajbu sawa mkuu, haikuisha hata wk jamaa akaitwa kazn bila hata interview, jamaa yuko njema sana kwa sasa, ila tukikutana kwenye mazungumzo lazima atasema gpa kali sio maisha,
Kwahiyo kila mwenye degree ya finance/accounting akiomba atapata hiyo kazi au watachagua mwenye uelewa wa kufanya hiyo kazi kwa uweledi.Hawaangalii Degree kwahio hapa akiomba wa Form six au asiyesoma Accountant anapata
View attachment 3028291
Watachagua mwenye specific requirementsKwahiyo kila mwenye degree ya finance/accounting akiomba atapata hiyo kazi au watachagua mwenye uelewa wa kufanya hiyo kazi kwa uweledi.
jamaa maisha kayapatia mkuu, uongo mbaya yuko njema sana, kuna project waliwauzia wachina alikuwa na hisa pia, anapokea dividend ya 200m+ kila mwaka na wana contract ya 15yrs na wachina.jamaa yako anajikuta nani.
😃😃😃😃😃😃Humu kila mtu amefika chuo kikuu,ana G.P.A nzuri na anasukuma ndinga kali sio paso.Humu jamii forum kila mtu anajifanya mjanja, elimu na ufaulu wa juu first class
jamaa maisha kayapatia mkuu, uongo mbaya yuko njema sana, kuna project waliwauzia wachina alikuwa na hisa pia, anapokea dividend ya 200m+ kila mwaka na wana contract ya 15yrs na wachina.
aisee kwa hiyo now tunasema ni millionaire kiasi flan.jamaa maisha kayapatia mkuu, uongo mbaya yuko njema sana, kuna project waliwauzia wachina alikuwa na hisa pia, anapokea dividend ya 200m+ kila mwaka na wana contract ya 15yrs na wachina.
hao ndo walimwengu mkuu, kuna dogo wa mtaani alimaliza 4 akakaa nyumbani kama mwaka hv, siku nimeenda kumsalimia bi mkubwa akaja kunipa hi, mwishowe akaniambia bro nimeshakaa sana home naomba unilipie chuo cha ualimu private nikasome, nikamuuliza sh ngapi ada akaniambia 850k miaka miwili, nilimpa cash hyo hela, hatuna undgu wala nn, alimaliza chuo na kazi alipata ila hajawai hata kunitumia sms kuwa alishamaliza chuo na kupata kazi.Yani bado anaendelea kusema aisee hii dunia ina watu mzee ila sishangai mi nina mwanangu Mungu ndiye shahidi nimemuingiza TPDF ila hadi leo hata kuongea na mimi kwenye simu hataki kila nikiwaza wapi nilimkosea sioni niliona basi isiwe tabu.
Kibongobongo yes, sasa mkuu kama jamaa anaride gari ya 150m tusemeje?aisee kwa hiyo now tunasema ni millionaire kiasi flan.
ndio maana anakiburi mkuu, we achana nae fanya mishe zako tu.Kibongobongo yes, sasa mkuu kama jamaa anaride gari ya 150m tusemeje?
Aya ona sasa ila nilichojifunza ni kitu ambacho kama nimeamua kutoa ni toe tu kama kwa nyakati hizo uwezo sina namuweka mtu wazi tu.hao ndo walimwengu mkuu, kuna dogo wa mtaani alimaliza 4 akakaa nyumbani kama mwaka hv, siku nimeenda kumsalimia bi mkubwa akaja kunipa hi, mwishowe akaniambia bro nimeshakaa sana home naomba unilipie chuo cha ualimu private nikasome, nikamuuliza sh ngapi ada akaniambia 850k miaka miwili, nilimpa cash hyo hela, hatuna undgu wala nn, alimaliza chuo na kazi alipata ila hajawai hata kunitumia sms kuwa alishamaliza chuo na kupata kazi.
Una akili za pimbiDarasa la saba ulipata wastani wa "A" na ukakosa fursa ya kwenda kidato cha kwanza? Kidato cha nne ulipata Division ONE na hukuchaguliwa kwenda Alevel au vyuo (kama ulichagua vyuo)? Alevel ulipata Division ONE ukakosa fursa ya kwenda Chuo Kikuu? Chuo Kikuu ukapata GPA ya "First Class" au "Upper Second" alafu ukakosa ajira?
Wengi wanaolialia wamesoma wakakosa ajira ni wale vilaza na wanaolazimisha ufauru afifu kuwa wamefauru! Katika Dunia hii ya utandawazi ili utoboe unahitaji viwango vya juu vya kudhihirisha kuwa uko vizuri! Sio unajikusanya na Division two au GPA ya lower au Gentleman alafu unalialia sina ajira! Hizo enzi zimepita mkuu! Ukiona umetupwa nje na mfumo wa ajira jiongeze kivingine!
Nashangaaga kuona mtaani vijana eti wanahusstle kwa kuendesha bodaboda, kupika mandazi, vitumbua, samaki, miogo alafu wanategenea kutoboa kuwa na maisha safi ya kumiliki nyumba nzuri, gari zuri, majina na heshima nzuri ya ukwasi! Thubutu! Utapata ela ya kula lakini umasikini umeishatia timu!
Povu ruksa!
Mungu atakulipahao ndo walimwengu mkuu, kuna dogo wa mtaani alimaliza 4 akakaa nyumbani kama mwaka hv, siku nimeenda kumsalimia bi mkubwa akaja kunipa hi, mwishowe akaniambia bro nimeshakaa sana home naomba unilipie chuo cha ualimu private nikasome, nikamuuliza sh ngapi ada akaniambia 850k miaka miwili, nilimpa cash hyo hela, hatuna undgu wala nn, alimaliza chuo na kazi alipata ila hajawai hata kunitumia sms kuwa alishamaliza chuo na kupata kazi.