Ni msomi yupi mwenye sifa hizi na bado yuko mtaani hana ajira?

kuna kazi ya 2d animation, mshahara milioni 1, lakini uwe na uwezo wa kutengeneza movie ya masaa 25 kwa mwezi.
Hii kazi ina zaidi ya miaka 3 haijapata mtu; sasa kama wewe ni msomi njoo upige kazi, hakuna haja ya koneksheni, ni utundu wako tu wa kutengeneza sinema ya vikaragosi.​
 
Niko nae huku mpanda tunanunua muhindi Na mpunga
 
Kweli kwma inalijipie kubwaaa siunatakowa iwe na likampuni linsloajiri vilaza. Kutendo cha kiaji7iwa tu nawe ni kilaza uliechangamka Huna creativity na hujaelimika. Akili kubwa huwa hapenfi kiongozwa na akili ndogo. GPA za bongo bana, ni creativity just to implement ither Big Brain innovation. IPUMBAVU TU!
Hora wakenya wemeanza kutumia AKILI kubwa kwa kuanzisha TECH comp. BONGO NY@#KO TU hata uwe na gpa kubwa au ndogo.Usone au usisome.
Hakuna tofauti ya AKILI KUBWA NA NDOGO.
Mtoa mada toka hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…