Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Ndio mkuu, natafuta mtu wa kutembeza bidhaa zanguumejiajir mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mkuu, natafuta mtu wa kutembeza bidhaa zanguumejiajir mkuu?
kuna kazi ya 2d animation, mshahara milioni 1, lakini uwe na uwezo wa kutengeneza movie ya masaa 25 kwa mwezi.
au sio unataka nikutembezee?,mbna umeni race sana?Ndio mkuu, natafuta mtu wa kutembeza bidhaa zangu
kama una produce bidhaa nakupa heko👍, ila kama unafanya uchuuzi sikupi heko.Ndio mkuu, natafuta mtu wa kutembeza bidhaa zangu
Kama familia ina uwezo peleka kijana Veta ama vyuo vingine vya ufundi achague fani yeyote ya ufundi akimaliza atafungua milango ya kujiajiri.
Niko nae huku mpanda tunanunua muhindi Na mpungaHawezi kujibu hapa maana ana degree ya ujinga. Umeona first class ya 4.2 maana yake ni vile vyuo visivyotambulika hata na tcu. Hizo ndio tunaita degree za chupi.
Nimemsahau jina yule kipanga wa jamiiforum nowadays hayuko active aliwahi post hadi vyeti vyake humu fm4 1.7 fm6 1.4 chuo udsm coet Gpa ya 4.8 telecom eng. Lakini alikuwa jobless na hakubakizwa chuoni
Kweli kwma inalijipie kubwaaa siunatakowa iwe na likampuni linsloajiri vilaza. Kutendo cha kiaji7iwa tu nawe ni kilaza uliechangamka Huna creativity na hujaelimika. Akili kubwa huwa hapenfi kiongozwa na akili ndogo. GPA za bongo bana, ni creativity just to implement ither Big Brain innovation. IPUMBAVU TU!Sasa first class ya lottery degrees 😂
Wew ulie andika I'm pretty sure hujawahi nunua even gari la million 50
People now are looking for skills sio Your GPA,kijana wenye GPA wako hapo ubungo wanadanga kama hajui
Okay una degrees ya Programming first class Create a project for Us and present 😂 Hola You keep Your GPA mbali na mtaa Broke kid
Your Yelling here with Your 410k salary bado You are working 11 hours 😂 Okay subiri hapo mpaka ujielewe
😁😁ufauru afifu