Ni msomi yupi mwenye sifa hizi na bado yuko mtaani hana ajira?

Siri ya mafanikio huijui ndugu.
 
We umesomea nn mkuu?
Hawezi kujibu hapa maana ana degree ya ujinga. Umeona first class ya 4.2 maana yake ni vile vyuo visivyotambulika hata na tcu. Hizo ndio tunaita degree za chupi.

Nimemsahau jina yule kipanga wa jamiiforum nowadays hayuko active aliwahi post hadi vyeti vyake humu fm4 1.7 fm6 1.4 chuo udsm coet Gpa ya 4.8 telecom eng. Lakini alikuwa jobless na hakubakizwa chuoni
 
Mkuu hivi unadhani kupata ajira tu inatosha kutimiza ndoto hizo ulizozisema? Unless otherwise ungeanza kwa kuchambua ni aina gani ya ajira yenye uwezo wa kutimiza ndoto za muhusika lkn si hizi za kufundisha sijui chuo ama kuajiriwa sector zingine na ukaishia kulipwa A million per month hutapata utajiri hata siku moja
 
Nahujasikia watu kununua Mitihani?

Hujasikia first class za chupi lakini kichwani ni box's tupu?
 
Ndo hayo nayosema GPA ya course inayoendana na soko au! Be smart na unachosomea! SUA mambo ya mifugo na kilimo!
Aise Kuna wana wengi tu wamesoma SUA mambo ya kilimo na wanyama na vi GPA vyao vya kawaida vya lower second class na pass wengi wapo Denmark, poland, norway na geramny wanapiga pesa ndefu huko kuliko sisi tuliopo bongo hapa na GPAs zetu za tembo.

Maisha ni fumbo mkuu ukibahatika kupiga hatua usiwakashifu ambao hawajabahatika.

Dunia ya sasa ule msemo "survival for the fittest" does no longer apply.
 
The world is flat bro πŸ˜”
 
A
Acha dharau mkuu ni Taifa gan linawatu wenye akili za ivo inchi nzima ?
 
Nimeshakuambia maisha yanaenda 🀣
Na nilishawahi kuajiliwa pia but
au tuishie hapo tu
 

Kazi ni connection na wala si MAVYETI.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwamba 4.2 first class nilitaka kushangaa
 
Ajira ni ngumu pia, fulsa ni chache,hata ufaulu vzr kiasi gani, kwa, hapa kwetu mwajiri mkubwa ni serikali,lqkini, yenyewe Ina limit, haiwezi kuajiri kila mwalimu, dokta anayetoka chuo,
Shule zipo, nyingi, na, zinahitaji, waalimu, sasa ukiajiri wote utawalipa kwa pesa, ipi? Wakati mapato hayatoshi? Serikali iliweka tozo,wananchi, wakaja, juu, sasa ikabidi waitoe,
Usijidanganye bro, fulsa bongo ni chache,
Miaka 14,iliyopita, nilikuwa, naweza kuacha kazi kqmpuni moja(telecom industry), nikagonga geti kqmpuni nyingine nikapata ajira, nimefanya kazi, kqmpuni kama Saba! Hawa, wakizingua naenda kwingine, faster! Sasa, hv, hata hizo, kqmpuni nilizopita kumtafutia, mtu field, au, kujitolea tu, hiyo nafasi, hakuna!
 
Nisaidie kujua huyo jamaa kasoma chuo gan maana ni shida
 
Kwahiyo we mkunduuu
Unaamini ajira zipo ila shida ni first class degree au div 1 si ndiyo eeeh
Haya mimi nimrajiliwa mwaka juzi napata mshahara mara 6 ya mshahara wa mwl degree holder wa mwaka 2012 aliyeajiliwa miaka hiyo mpk leo 2024 yupo kwny ajira serikalini na nina lower so wamenipendelea eeeh.....senge ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…