Ni msomi yupi mwenye sifa hizi na bado yuko mtaani hana ajira?

Ni msomi yupi mwenye sifa hizi na bado yuko mtaani hana ajira?

Hivi kwenye mtihani aliyepata alama 100 % na aliyepata alama 81 ‰ si wote wamepata daraja "A", au nakosea ?

Na kama kanuni inasema kufaulu ni kuanzia daraja "A" hadi daraja "C" kwa maana hiyo aliyepata "A" na aloyepata "C" wote wamefaulu kwa mujibu kwa kanuni ya ufaulu iliyo pangwa, hakuna aliye feli hapo.

Sasa iweje kwenye kuajiri ubague kuwa huyu kafaulu sana huyu kafaulu kidogo hivyo tubague walio faulu sana japo wote wamefaulu.

Any way tuachane na hiyo, chukua hii "Je unajua kuwa uwezo wa utendaji unaonekana zaidi kwenye field kuliko kwenye haya ma GPA ya kwenye makaratasi " ?

Leo hii mchukue injinia wa chuo kikuu mwenye GPA ya 5 ya kwenye makaratasi alafu mchue na VETA wa darasa la saba wapeleke kwenye field uje unambie nani ataonekana kilaza kwenye field kama siyo huyo injinia mwenye GPA ya 5.

Utendaji kazi haupimwi kwa GPA ya 5, watu tunakariri tu na kwenye paper tunaenda tunatusua lakini kumbe tulikariri.
Acha kutukuza ujinga!
 
Shule ya msingi nimepata wastani wa A
Nikaenda Tabora boys nikapata div one ya point 8
Nikaenda Mzumbe PCM nikapata div one ya point 05
Nikaenda COET Civil Engineering nikapata First class
Ila SIJAAJILIWA na maisha yanaenda🤣🤣
Sasa kama maisha yanaenda ajira ya nini? Kwani unalialia? Kwa GPA hiyo unaqualify kuwa Tutorial Assistant kwa Chuo chochote kama kweli umemaliza UDSM KIXI
 
WEKA USHAHIDI WAKO KAMA NI KWELI KUNA 50,000 YA kukupongeza kwa hizo maksi zako.

na pia nakupiganishia nakuweka sehemu ya kuanzia.

weka attachment za vyeti vyako, ziba sehemu ya jina lako ili kulinda privacy yako ya Jamiiforums, kama ni kweli nakupigia bonge la pande sehemu, na 50k ya soda juu leo leo
Huyo jamaa kwa qualification hizo tena masomo ya sayansi kama ni kweli hawezi kuwa mtaani! Anyway kasema maisha yanaenda labda anasimamia miradi ya familia! Sisi hatutaki kusikia mtu mwenye qualification nzuri alafu eti alie kukosa ajira! Hakuna kitu kama hicho! Wate wanaolia ni ma failures
 
Darasa la saba ulipata wastani wa "A" na ukakosa fursa ya kwenda kidato cha kwanza? Kidata cha nne ulipata Division ONE na hukuchaguliwa kwenda Alevel au vyuo (kama ulichagua vyuo)? Alevel ulipata Division ONE ukakosa fursa ya kwenda Chuo Kikuu? Chuo Kikuu ukapata GPA ya "First Class" au "Upper Second" alafu ukakosa ajira?
Wengi wanaolialia wamesoma wakakosa ajira ni wale vilaza na wanaolazimisha ufauru afifu kuwa wamefauru! Katika Dunia hii ya utandawazi ili utoboe unahitaji viwango vya juu vya kudhihirisha kuwa uko vizuri! Sio unajikusanya na Division two au GPA ya lower au Gentleman alafu unalialia sina ajira! Hizo enzi zimepita mkuu! Ukiona umetupwa nje na mfumo wa ajira jiongeze kivingine!
Nashangaaga kuona mtaani vijana eti wanahusstle kwa kuendesha bodaboda, kupika mandazi, vitumbua, samaki, miogo alafu wanategenea kutoboa kuwa na maisha safi ya kumiliki nyumba nzuri, gari zuri, majina na heshima nzuri ya ukwasi! Thubutu!!! Utapata ela ya kula lakini umasikini umeishatia timu!!
Povu ruksa!!

Mkiandika mada za kuumiza watu, muwe mnatumia akili kufikiri mnachokiandika na sio kujizima data.
Hata hivyo kama mwandishi amesoma hadi kidato cha nne na hawezi kutofautisha kati ya kufaulu na kufauru, kuna kitu hakipo sawa
 
Darasa la saba ulipata wastani wa "A" na ukakosa fursa ya kwenda kidato cha kwanza? Kidata cha nne ulipata Division ONE na hukuchaguliwa kwenda Alevel au vyuo (kama ulichagua vyuo)? Alevel ulipata Division ONE ukakosa fursa ya kwenda Chuo Kikuu? Chuo Kikuu ukapata GPA ya "First Class" au "Upper Second" alafu ukakosa ajira?
Wengi wanaolialia wamesoma wakakosa ajira ni wale vilaza na wanaolazimisha ufauru afifu kuwa wamefauru! Katika Dunia hii ya utandawazi ili utoboe unahitaji viwango vya juu vya kudhihirisha kuwa uko vizuri! Sio unajikusanya na Division two au GPA ya lower au Gentleman alafu unalialia sina ajira! Hizo enzi zimepita mkuu! Ukiona umetupwa nje na mfumo wa ajira jiongeze kivingine!
Nashangaaga kuona mtaani vijana eti wanahusstle kwa kuendesha bodaboda, kupika mandazi, vitumbua, samaki, miogo alafu wanategenea kutoboa kuwa na maisha safi ya kumiliki nyumba nzuri, gari zuri, majina na heshima nzuri ya ukwasi! Thubutu!!! Utapata ela ya kula lakini umasikini umeishatia timu!!
Povu ruksa!!
Mkuu umepata first class CBE basi hatulali
 
Sasa first class ya lottery degrees 😂
Wew ulie andika I'm pretty sure hujawahi nunua even gari la million 50

People now are looking for skills sio Your GPA,kijana wenye GPA wako hapo ubungo wanadanga kama hajui

Okay una degrees ya Programming first class Create a project for Us and present 😂 Hola You keep Your GPA mbali na mtaa Broke kid

Your Yelling here with Your 410k salary bado You are working 11 hours 😂 Okay subiri hapo mpaka ujielewe
akikujibu ni tag, naona kaku skip.
 
akikujibu ni tag, naona kaku skip.
Ana madeni tu Kama Ana ubavu atupostie salary slip yake hapa 😂😂😂

Kelele nyingi sana

Mtu hajawah hata kusafiri vocation haiju Kaz kujisifu ujinga kwan Nan ambae hajui kua wasomi hawana pesa?😂 Uko na first class Business kariako nzima huwezi mpaka mwenye first class

Maisha ya kukalili hayo ndio mnaishia kuva kula na kuendeasha ist used ya mkopo😂🤣

Dunia Haina huruma Maskini bhan
 
Ma failures ndo yamejaa mtaani alafu domo lefu wanataka ajira! Akuajiri nani? Unadhani tuko zile enzi za mwalimu miaka 47? Tena hata hizo GPA ziangalie kama ni masomo yanayoendana na soko! Sio una GPA kali ya Socialogy alafu unakuja kututambia! Huu ni ulimwengu wa sayansi na technologia! Kama uwezi kumudu masomo ya sayansi wewe ishia tu kidato cha nne alafu nenda chuo cha kusomea ufundi upate cheti njoo kitaa pambana! Utapoteza muda kuendelea na masomo hayo ya Art au endelea lakini uwe na ubavu wa ushindani! Hatutaki jamii inayolialia kila kukicha utadhani jamii au serikali ndo iliyowazaa!
Yaani wewe jamaa ni poyoyo sana,

wakati tupo advance tulikuwa tunawadharau sana watu wa arts n biashara

ila wengi wao ndio wapo kwenye vitengo vya kupiga pesa ndefu.

Mwenye akili timamu hawezi kudharau program za watu wengine

Wewe una Shida ya afya ya akili

WAHI MILEMBE
 
Ana madeni tu Kama Ana ubavu atupostie salary slip yake hapa 😂😂😂

Kelele nyingi sana

Mtu hajawah hata kusafiri vocation haiju Kaz kujisifu ujinga kwan Nan ambae hajui kua wasomi hawana pesa?😂 Uko na first class Business kariako nzima huwezi mpaka mwenye first class

Maisha ya kukalili hayo ndio mnaishia kuva kula na kuendeasha ist used ya mkopo😂🤣

Dunia Haina huruma Maskini bhan
😂, mtu hana hata project aliyoianzisha basi hata ikaleta impacts kwa jamii husika na first class yake hio ya kukariri kisa ana kijobu chake salary haifk hata M10, anatuvimbia.
 
Nimeshuhudia Vipanga wa Dawasa (Wenye Divishen one Kali na GPA Kubwa na Vyeo vikubwa) wakiomba msaada kwa Experienced technician juu ya maji kutofika mahali flani, Kumbe motor waliyoiweka haikukidhi matakwa ya pipe za kuvuta hayo maji.
Naamini jibu halijatosheleza, ila naamini umeuona kamwanga kidogo.
 
Back
Top Bottom