Ni mstari gani kwenye biblia unautumia sana upitiapo nyakati ngumu katika Maisha

Eccles 9:11

Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote.

Romans 8:28
And we know that all things work together for good to those who love God.......
 

Amina.
 
UJumbe wowote wa maneno huwa unabadilika maana pale ambapo maneno halisi yakabadilishwa kwa namna moja au nyengine na kutiwa mengine .

Sasa kuna haja gani ya kubadikisha maana ya maneno kutoka kwenye uhalisia wake? Au haujui lugha huwa zinazidiana maneno na matamshi? Kitu ambacho kinapelekea neno kuzidi kuhama zaidi mwisho wa siku tunabaki na kitu ambacho ni tofauti na cha mwanzo .

Kuelewa namaanisha nini hebu jaribu kupitia mfano wa "THE SHIP OF THESEUS".

Na umesema biblia si kitabu cha siri au cha uganga kwamba hakiitaji kusoma huku tunafungua codes. sasa kwanini inahitajika kuwa na roho mtakatifu ili kulielewa neno?
 
Ufunuo 12:11 Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana-Kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao; ambao hawakupenda maisha yao hata kufa.

halafu namalizia na;

Luka 10:19 Tazama, nimewapa Mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge, na nguvu zote za yule adui, wala hakuna kitu kitakachowadhuru.

nikitumia kwa moyo na Imani, mashetani, majini, na shida huwa zinayeyuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…