Ni mtanzania yupi maarufu zaidi?

Hapo ni mpambano wa simba vs yanga
Hata uwe mbaya vipi huwezi kuizidi nyimbo ya mpya domo but good video audio ntarudi baadae labda masikio yangu mabovu
 
Hata uwe mbaya vipi huwezi kuizidi nyimbo ya mpya domo but good video audio ntarudi baadae labda masikio yangu mabovu

Haaah hater bhn hapo ushaisikiliza mara 5 na umeshamtumia baby wko ujumbe na mashairi
 
Diamond platinum maana hata ukimuuliza mtoto wangu Wa miaka minne anamfahamu
 
Haaah hater bhn hapo ushaisikiliza mara 5 na umeshamtumia baby wko ujumbe na mashairi
Sasa kwa nn nisiusikilize mkuu kwani ni vita ila anaelekea kutoa remix na mashauzi [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Niliamini ataefunika nyota ya diamond atatoka kwenye bongo fleva bahati mbay katoka ikulu rais John P Magufuli.

Maisha haya!!
 
Kikwete huo ndo ukweli...wa pili AY hao wengine watajeni nyny NOTE: Diamond ni maarufu afrika
 
Kikwete huo ndo ukweli...wa pili AY hao wengine watajeni nyny NOTE: Diamond ni maarufu afrika

Aaaaah umefeli baab, kikwete hana umaarufu wowote hata Tanzania kwenyewe sehemu kibao hawamfahamu ila ukiuliza Diamond kila mtu anajuwa watoto kibao wanatungiwa majina ya Diamond/ platninum huko vijijini

Kuhusu AY najuwa hata ww umemtaja kwa masihara..

Ukienda nchi za wenzetu huko wengine hawajui hata kama kuna Tanzania, ila wanajuwa kuna MT KILIMANJARO, Na DIAMONDPLATNUMZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…