Ni mtanzania yupi maarufu zaidi?


Wenzio hawautaki ww unajilazimisha UCHIZI... Haya hongera
 
na ndo maana hata ile siku ya ugawaji wa tuzo za mtv pale s.africa yule host alikuwa anapatia jina la diamondplatnumz lakini sehemu ya nchi badala ya kusema Tanzania alikuwa anasema Togo...hahahahaaa!
 

Kwa mujibu wa mitandao ni Freddy Mercury,mwanamuziki nguli wa kundi la Queens. Alizaliwa Stone Town Zanzibar 1946 na kufariki 1991 huko London
NB: Jamaa alikuwa ni shoga na alikufa kwa ngoma
 
Na ndio uhalisia, hakuna kama Diamond Platnumz hilo lipo wazi kabisa...!
Hivi ukijulikana Nigeria na South afrika kwa godfather baaaas hahahahaaaaa kwa wasanii Ay kwanza maana kaanza kutoboa anga kitaaaaambo kafanya Kazi na wasanii wenye levo za kidunia zamaaaaani sooo kajipange bro bt sorryyy
 
Le mbururazzzz Le kujulikanaz u know
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…