Franco Zetta
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 1,661
- 843
Kwa lipi?kichuguu au moyo wa huruma alio nao.Agnes masogange
Ni kweli ana stahili ila kifungu cha pili hatuko pamoja.Swali kwenu wadau..
Ila kwa upande wangu, sioni kama kuna mtanzania maarufu zaidi kwa Tanzania, na nje ya Tanzania kumzidi DIAMOND PLATNUMZ
Na kuja kutokea mtu kama huyu itachukuwa vizazi na vizazi, kama ilivyo kwa umaarufu wa Michael Jackson duniani.
Umri wako pl3as3Aaaaah umefeli baab, kikwete hana umaarufu wowote hata Tanzania kwenyewe sehemu kibao hawamfahamu ila ukiuliza Diamond kila mtu anajuwa watoto kibao wanatungiwa majina ya Diamond/ platninum huko vijijini
Kuhusu AY najuwa hata ww umemtaja kwa masihara..
Ukienda nchi za wenzetu huko wengine hawajui hata kama kuna Tanzania, ila wanajuwa kuna MT KILIMANJARO, Na DIAMONDPLATNUMZ
Nasikia anaitwa Tycoon la kibongoLe mbururazzzz Le kujulikanaz u know
upo sahihi kabisa,nilitaka nishangae yani huyu mtoto amshinde mzee wa msoga kweli.Mtu maarufu zaidi ni jakaya peke yake. Hakuna anayemzidi