Ni mtanzania yupi maarufu zaidi?

Ni mtanzania yupi maarufu zaidi?

Swali kwenu wadau..

Ila kwa upande wangu, sioni kama kuna mtanzania maarufu zaidi kwa Tanzania, na nje ya Tanzania kumzidi DIAMOND PLATNUMZ

Na kuja kutokea mtu kama huyu itachukuwa vizazi na vizazi, kama ilivyo kwa umaarufu wa Michael Jackson duniani.
Ni kweli ana stahili ila kifungu cha pili hatuko pamoja.
 
Aaaaah umefeli baab, kikwete hana umaarufu wowote hata Tanzania kwenyewe sehemu kibao hawamfahamu ila ukiuliza Diamond kila mtu anajuwa watoto kibao wanatungiwa majina ya Diamond/ platninum huko vijijini

Kuhusu AY najuwa hata ww umemtaja kwa masihara..

Ukienda nchi za wenzetu huko wengine hawajui hata kama kuna Tanzania, ila wanajuwa kuna MT KILIMANJARO, Na DIAMONDPLATNUMZ
Umri wako pl3as3
 
Bushoke,babu seya(sijui alikuwa raia!),kanumba,babu loliondo,nyerere, hao ni ambao daimondi wenu hawafikii hata punje
 
HAWA NDIO WATANZANIA MAARUFU BILA KUJALI WANACHO KIFANYA/CAREER.

*Raisi John Pombe Magufuli
*Diamond Platnumz
*Wema Sepetu
*Ali kiba
* Mbwana Samanta
* Bhakressa
* Raisi Jakaya Kikwete


Na list ina endeleea........
 
Ukizungumzia Africa, Diamond Platnumz ni maarufu sana na anaitangaza Tanzania vizuri. Right now anajitahidi kuPenetrate katika soko la kimataifa ndio maana ana mipango ya kufanya na watu kama kina Swiss Beats na kina Ne-yo. But Afrika ashaiteka, so ni mda wa kuConquer America na the world at large. Tumuombeeni guyz.
 
Back
Top Bottom