Ni mtanzania yupi maarufu zaidi?

Ni mtanzania yupi maarufu zaidi?

Swali kwenu wadau..

Ila kwa upande wangu, sioni kama kuna mtanzania maarufu zaidi kwa Tanzania, na nje ya Tanzania kumzidi DIAMOND PLATNUMZ

Na kuja kutokea mtu kama huyu itachukuwa vizazi na vizazi, kama ilivyo kwa umaarufu wa Michael Jackson duniani.
Mapenzi yakizid unakuwa ni ugonjwa hatar zaid ya addiction ya ngada
itabid tuwe na rehab maalum kwa ajil ya watu kama nyinyi
 
Agnes masogange
Agnes-Masogange-.png
 
freddie Mercury
Alikuwa lead singer wa kikundi kiitwachwa Queen.

huu hapa mmoja wa wimbo wao.
 
Mtanzania maarufu zaid ni kikwete akifuatiwa na lowassa,kuna watu kama bakhresa na magufuli ni ngumu kumkuta mtu hamjui nchi hii

Watu kama samata,diamond,ali kiba wanaongoza kufuatiliwa zaid maisha yao lakin sio ndio maarufu zaid


famous : somebody who is known or maybe well known by many people;
it could be present or past, known for good or for evil.

celebrity: somebody who is 'celebrated', meaning that he did or does something so special, that many people will repute this person as very,very special and
would try to get near him or her in many ways
 
Kwa wakati upi huo hata hayati mwl nyerere ni maarufu hkuna asiyemjua katika historia
 
Atakua ni simba au twiga huku nje wengi tunafahamu Tanzania ni mbuga ya wanyama ndio maana hata twiga wanapanda ndege 🙂
 
Zungukeniii,mwisho mpeni haki yake DIAMONDPLATNUMZ...huyu ni maarufu kwa rika zote,jinsia zote na hata wale wasiokuwa mashabiki wa muziki,huyu dogo wanamjua ndani ya tz na nje ya tz!na hii ni kutokana na kazi anayofanya(kuburudisha)of which wengi wa walimwengu hupenda kuwa entertained ili kuwa stress free.
For the time being hana mpinzani na hili lipo wazi...point to note.wapenda burudani ni wengi sana duniani kuliko wapenda siasa.
 
Swali kwenu wadau..

Ila kwa upande wangu, sioni kama kuna mtanzania maarufu zaidi kwa Tanzania, na nje ya Tanzania kumzidi DIAMOND PLATNUMZ

Na kuja kutokea mtu kama huyu itachukuwa vizazi na vizazi, kama ilivyo kwa umaarufu wa Michael Jackson duniani.


Anaweza kulinganishwa na Dr Shein?? Sidhani
 
Back
Top Bottom