Ni mtu gani humu JF hutamani apewe ban

Sikuio nilichukia balaa 😈😈 nilicho jifunza Jf ya zaman kulikua na MA TROUBLE MAKER..

Hao watu saiv utawapata kwenye ushabiki wa SIMBA NA YANGA πŸ€“πŸ€“πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
Hahaha watu walijiona wamiliki wa jf.
Ilikuwa ukikoment unakutana na jitu linasema...umejiunga jana huna jipya🀣
 
Shem asante, I do appreciateπŸ₯°

Sina baya na mtu mie, hapa ni +ve vibes only
 
Naomba mods wampige ban huyo member mmoja anaitwa kibabu na binti ni hovyo sana huyo jamaa
 
dogo wewe nichok.umetaja wanaume tupu unatafuta bash ee? nahuyo binti ulie m mention ulimtongoza akakuweka frendzon ndio Mana umemshobokea.kati ya ulio wataja kuna mmoja ni gay anapenda sana kuanzisha mada za mashoga.atakufata pm
 
Kwa upande wangu wapo wengi ila Kwa uchache tu ni bwana mshana Jr, controla, extrovert, deep pond, cocastic, mideko,kiranga, watu 8, pia kuna yule bibie anatupia odds kulea kwenye mikeka nimemsahau kidogo, Lakini nje ya mada kuna Hawa wadau wa JF ya miaka ya 2012 kurudi nyuma huwa nawakumbuka sana sijui walipigwa life ban au wamekufa mf: paka jimmy, gfswonin, miss Chaga, Lara 1,Evelyn salt, the bold, heaven sent, badili tabia, CTU, Amicus curiae,mgt software, charming lady,, humble African, mbu, ashadii, etc, Jamaa walikuwa nondo balaa.....
 
[emoji1545][emoji1752] Atlantic Star
 
 
DEeppond ameliwa tiyari
 
Miye Kuna mmoja nimemuignore yaani ananichukia kama tunajuana nkaonaa aah ngoja nimuweke pending staki shida

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…