Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
πππππ€£π€£ππMiye Kuna mmoja nimemuignore yaani ananichukia kama tunajuana nkaonaa aah ngoja nimuweke pending staki shida
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nilifunguaga ID 2013 Tena ndio new member,asa nikachangia mada kwenye uzi mmoja,si nikakosea spelling π₯π₯ jaman jaman nilichambwa na huyo kaka na nimekalili I'd yke mpka leo na yupo active.Kwamba sijui kuandika nirudi shule blabla blabla.....na kweli kipindi hicho nilikuwa shule.Hahaha watu walijiona wamiliki wa jf.
Ilikuwa ukikoment unakutana na jitu linasema...umejiunga jana huna jipyaπ€£
Dah na wewe ukawa mpoleNilifunguaga ID 2013 Tena ndio new member,asa nikachangia mada kwenye uzi mmoja,si nikakosea spelling π₯π₯ jaman jaman nilichambwa na huyo kaka na nimekalili I'd yke mpka leo na yupo active.Kwamba sijui kuandika nirudi shule blabla blabla.....na kweli kipindi hicho nilikuwa shule.
Yaani niliishiwa pozi,sikuingia Tena online kuchangia kitu,kazi yngu ilikuwa kusoma tu nyuzi,mpaka mwaka Jana nilipoona naweza kuhumili vishindo vya humu ndio nikafungua tena ID mpya.
Ndio,nilikuwaga mdogo mdogo huko afu muogaaa,yaan ilinitowa kwenye mudi kilekichambo miaka na miaka.Afu ajabu nilivyofungua ID mpya hio mwaka Jana huyohuyo alie nichamba akani quote kwenye uzi mmoja ivi ππππ,na mzoom tuDah na wewe ukawa mpole
Baasi tu ujinga ujinga wa jf!!!mwenzangu kayabeba baasi tafrani tupu[emoji849][emoji23][emoji23][emoji23] ulimfanya nini?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]....!!!pole mi nilivoingia ,nkaingia na kina warumi,Dina na heaven on earth baasi nilipata back up Moja matata sana nashukuru walinibeba sanaNilifunguaga ID 2013 Tena ndio new member,asa nikachangia mada kwenye uzi mmoja,si nikakosea spelling [emoji26][emoji26] jaman jaman nilichambwa na huyo kaka na nimekalili I'd yke mpka leo na yupo active.Kwamba sijui kuandika nirudi shule blabla blabla.....na kweli kipindi hicho nilikuwa shule.
Yaani niliishiwa pozi,sikuingia Tena online kuchangia kitu,kazi yngu ilikuwa kusoma tu nyuzi,mpaka mwaka Jana nilipoona naweza kuhumili vishindo vya humu ndio nikafungua tena ID mpya.
Duh pole ase mchulie ivyo tuBaasi tu ujinga ujinga wa jf!!!mwenzangu kayabeba baasi tafrani tupu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Daah warumi nilikuwaga napenda nyuzi zake za umbea jamani,alinifanya nipende jukwaa la celebrity kwa wakati ule.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]....!!!pole mi nilivoingia ,nkaingia na kina warumi,Dina na heaven on earth baasi nilipata back up Moja matata sana nashukuru walinibeba sana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mambo vpDaah warumi nilikuwaga napenda nyuzi zake za umbea jamani,alinifanya nipende jukwaa la celebrity kwa wakati ule.
PoaaMambo vp
Mimi kipindi mgeni najiunga nilikuwa naogopa kucomment hovyo kuogopa kuambiwa "peleka utoto wako fesibuku"Hahaha watu walijiona wamiliki wa jf.
Ilikuwa ukikoment unakutana na jitu linasema...umejiunga jana huna jipyaπ€£
Mimi kipindi mgeni najiunga nilikuwa naogopa kucomment hovyo kuogopa kuambiwa "peleka utoto wako fesibuku"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu lolUnatafuta umaarufu jf kwa Ku force.humu hakuna faida utapata zaidi ya Nondo tu Na maarifa ujiongeze ila hakuna Wa kukupa hela wala penzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF ni zaidi ya niijuavyoo wallah.dogo wewe nichok.umetaja wanaume tupu unatafuta bash ee? nahuyo binti ulie m mention ulimtongoza akakuweka frendzon ndio Mana umemshobokea.kati ya ulio wataja kuna mmoja ni gay anapenda sana kuanzisha mada za mashoga.atakufata pm
[emoji113]Kwa upande wangu wapo wengi ila Kwa uchache tu ni bwana mshana Jr, controla, extrovert, deep pond, cocastic, mideko,kiranga, watu 8, pia kuna yule bibie anatupia odds kulea kwenye mikeka nimemsahau kidogo, Lakini nje ya mada kuna Hawa wadau wa JF ya miaka ya 2012 kurudi nyuma huwa nawakumbuka sana sijui walipigwa life ban au wamekufa mf: paka jimmy, gfswonin, miss Chaga, Lara 1,Evelyn salt, the bold, heaven sent, badili tabia, CTU, Amicus curiae,mgt software, charming lady,, humble African, mbu, ashadii, etc, Jamaa walikuwa nondo balaa.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio,nilikuwaga mdogo mdogo huko afu muogaaa,yaan ilinitowa kwenye mudi kilekichambo miaka na miaka.Afu ajabu nilivyofungua ID mpya hio mwaka Jana huyohuyo alie nichamba akani quote kwenye uzi mmoja ivi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38],na mzoom tu
Wapuuzi walinyanyasa watu sana hadi makapuku ikaanzishwaMimi kipindi mgeni najiunga nilikuwa naogopa kucomment hovyo kuogopa kuambiwa "peleka utoto wako fesibuku"
Shukran sana master π