Ni mtu gani humu JF hutamani apewe ban

Ni mtu gani humu JF hutamani apewe ban

Hahaha watu walijiona wamiliki wa jf.
Ilikuwa ukikoment unakutana na jitu linasema...umejiunga jana huna jipya🀣
Nilifunguaga ID 2013 Tena ndio new member,asa nikachangia mada kwenye uzi mmoja,si nikakosea spelling πŸ˜₯πŸ˜₯ jaman jaman nilichambwa na huyo kaka na nimekalili I'd yke mpka leo na yupo active.Kwamba sijui kuandika nirudi shule blabla blabla.....na kweli kipindi hicho nilikuwa shule.
Yaani niliishiwa pozi,sikuingia Tena online kuchangia kitu,kazi yngu ilikuwa kusoma tu nyuzi,mpaka mwaka Jana nilipoona naweza kuhumili vishindo vya humu ndio nikafungua tena ID mpya.
 
Dah na wewe ukawa mpole
 
Nilifunguaga ID 2013 Tena ndio new member,asa nikachangia mada kwenye uzi mmoja,si nikakosea spelling [emoji26][emoji26] jaman jaman nilichambwa na huyo kaka na nimekalili I'd yke mpka leo na yupo active.Kwamba sijui kuandika nirudi shule blabla blabla.....na kweli kipindi hicho nilikuwa shule.
Yaani niliishiwa pozi,sikuingia Tena online kuchangia kitu,kazi yngu ilikuwa kusoma tu nyuzi,mpaka mwaka Jana nilipoona naweza kuhumili vishindo vya humu ndio nikafungua tena ID mpya.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]....!!!pole mi nilivoingia ,nkaingia na kina warumi,Dina na heaven on earth baasi nilipata back up Moja matata sana nashukuru walinibeba sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Daah warumi nilikuwaga napenda nyuzi zake za umbea jamani,alinifanya nipende jukwaa la celebrity kwa wakati ule.
 
Mimi kipindi mgeni najiunga nilikuwa naogopa kucomment hovyo kuogopa kuambiwa "peleka utoto wako fesibuku"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mmepitia magumu
 
Unatafuta umaarufu jf kwa Ku force.humu hakuna faida utapata zaidi ya Nondo tu Na maarifa ujiongeze ila hakuna Wa kukupa hela wala penzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu lol
 
dogo wewe nichok.umetaja wanaume tupu unatafuta bash ee? nahuyo binti ulie m mention ulimtongoza akakuweka frendzon ndio Mana umemshobokea.kati ya ulio wataja kuna mmoja ni gay anapenda sana kuanzisha mada za mashoga.atakufata pm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF ni zaidi ya niijuavyoo wallah.
Mbna cna taarifa lol.
 
Kwa upande wangu wapo wengi ila Kwa uchache tu ni bwana mshana Jr, controla, extrovert, deep pond, cocastic, mideko,kiranga, watu 8, pia kuna yule bibie anatupia odds kulea kwenye mikeka nimemsahau kidogo, Lakini nje ya mada kuna Hawa wadau wa JF ya miaka ya 2012 kurudi nyuma huwa nawakumbuka sana sijui walipigwa life ban au wamekufa mf: paka jimmy, gfswonin, miss Chaga, Lara 1,Evelyn salt, the bold, heaven sent, badili tabia, CTU, Amicus curiae,mgt software, charming lady,, humble African, mbu, ashadii, etc, Jamaa walikuwa nondo balaa.....
[emoji113]
 
Ndio,nilikuwaga mdogo mdogo huko afu muogaaa,yaan ilinitowa kwenye mudi kilekichambo miaka na miaka.Afu ajabu nilivyofungua ID mpya hio mwaka Jana huyohuyo alie nichamba akani quote kwenye uzi mmoja ivi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38],na mzoom tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi kipindi mgeni najiunga nilikuwa naogopa kucomment hovyo kuogopa kuambiwa "peleka utoto wako fesibuku"
Wapuuzi walinyanyasa watu sana hadi makapuku ikaanzishwa
 
Back
Top Bottom