Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Choko tu wewe.Punguza mazoea wewe shoga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Choko tu wewe.Punguza mazoea wewe shoga.
Nitajie makamu wa Rais wa Uingereza na nitajie makamu wa Rais wa UjeruamaniLogics zinakataa Boss, lakini pia angalia best practice duniani, nchi nyingi zenye Rais Mtendaji huwa Zina Makamu wa Rais ambaye ni Running mate, maana yake amepewa nguvu na watu.
Lakini pia ili kumfanya Makamu awe na kazi ya kufanya day in day out kuna baadhi ya nchi Makamu wa Rais Anapewa Wizara fulani fulani, Mfano hapa kwetu ni Mazingira na Muungano; maana yake sio kweli kwamba Hana kazi za kufanya.
Changamoto kwenye andiko lako nadhani unataka kumuona Makamu Yuko on per na Boss wake, hili nafikiri haliwezekani, refer case ya juzi ya Gachagua/Ruto.
Kwa Tanzania, cheo ambacho hakitakiwi ni Cha Waziri Mkuu. Waziri Mkuu HANA KAZI yoyote ingawa inaonekana anayo. Mfano, wewe umesema ana uwezo kumfukuza kazi MTUMISHI; sio kweli.
Ila Makamu wa Rais cheo chake ni kikubwa zaidi ya tunavyokiona. Sana sana tu labda cheo chake kiongezewe majukumu ya Waziri Mkuu kikae sawa.
Aliye anzisha huuu uzi wakufuta vice presidency apigwe mawe, mkeka wake utakuwa ulichanika ndo akapata madness, saizi ameamka na grandiose delusions anaongea uchwalaaa tuu.kwanza afute uzi wake kabla haujamtokei puani bwabwa huyu
Ahsante. Naamini tuendelee kutoa maoni yanaweza kufanyiwa kazi na Tanzania yetu ikasonga mbele.Wazo lako ni zuri mkuu
Kwa maoni yangu,
nadhani kile cheo cha makamu mwenyekiti wa chadema taifa ndicho hasa hakina maana wala umuhimu, na kilichopoteza uelekeo kabisa, na kwakweli kinachochochea uhasama na kuzidisha mpasuko na mgawanyiko chadema, ndicho haswaaa cha kufutilia mbali...
kuhusu kwingineko,
nadhani kuna tatizo la uelewa na ufahamu tu, juu ya umuhimu na maana ya makamu au naibu rais. Ukijua malego na madhumuni yake licha ya gharama yake, kamwe huwezi kufikiri wala kusema ulichokiandika. Akina Aristotle na Plato hawakua na ufinyu wa fikra kama huo wa kwenye hoja ya msingi, ndiyo maana wakabuni na kuweka nafasi hiyo.
Na kwa binadamu alivyo,
mpaka kwanza apate tatizo ndipo aone umuhimu wa jambo alilokua akilidharau au haelewi wala kuona umuhimu wake.
Nachelea kusema,
kama kuna nafasi muhimu, nzito na ya maana sana ambayo kamwe haistahili hata mjadala wa kuwepo kwake basi ni nafasi ya Makamu au naibu wa rais.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Na kwann ifutwe unazijua vizuri kazi za makamu wa rais ndugu yangu .Nimesema Makamu wa Rais, Kama nafasi sio mtu. Hii itapunguza gharama na mabajeti yasiyokuwa na maana. Halafu sijamzungumzia Waziri Mkuu labda Kama unamnukuu mtu mwingine.
kwahivyo gentleman, ukiona maelezo yangu tu unapata mawenge na kuona kama najadili chama fulani cha siasa pekee, kitu ambacho kina uhusiano wa moja kwa moja na hoja yako ya msingi? kuna ubaya au makosa gani hapo kwa mfano?Shida yako unawaza uchama usiku na mchana. Mimi naongelea suala la Makamu wa Rais wa JMT wewe unaleta ngonjera za Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA. Nikikuuliza swali, Makamu Mwenyekiti wa CCM Sasa hivi ni nani?.
Naomba unijibu Hilo swali.
Hakuna unachokijua.Hujielewi kamanda! Hivi unajua nafasi ya urais wewe? Hiyo nafasi haitakiwi kukaliwa na yeyote ambaye wananchi hawamjui! Juzi Phillip Mpango walitoka kuzushiwa kifo sababu wananchi hawajamuona muda mrefu! Rais anapokuwa hayupo lazima hicho kiti pawepo wa kukikalia vinginevyo akikaa mtu ndiye siye anaweza kumzuia hata Rais asirudi nchini au kufanya chochote kwasababu kimamlaka kakalia kiti!
Yani Wewe choko ni wakunionya mimi? Wonders shall never end.Nitakupatia tu, wewe leta mazoea ya kijinga. Na siku nakupata hutajua. Nadhani tangu siku hiyo utaacha mazoea kwa wanaume yakijinga. Nakuonya mara ya mwisho.
Kwa Sasa Katiba ya Jamhuri ya Tanzania inatakiwa kupitiwa upya, na kuondoa cheo Cha Makamu wa Rais. Cheo hili hakina tija kinaongeza tu mlundikano wa vyeo visivyokuwa na maana.
Makamu wa Rais Hana mamlaka Kama aliyonayo Waziri Mkuu, ndio maana Waziri Mkuu anaweza kumfukuza au kumsimamisha kazi Mtumishi ila sio Makamu wa Rais.
Nafasi ya Makamu wa Rais imekuwa ceremonial tu. Makamu wa Rais anaweza kupotea hata miezi SITA na wananchi wasishangae au Makamu wa Rais ataonekana Sana kwenye ufunguzi wa warsha na makongamano.
Ni kweli Makamu wa Rais yupo kwaajili ya kukaimu nafasi ya urais Rais anapokuwa nje ya nchi, ila sio lazima yeye akaimu , Rais anaweza kumkaimisha yeyote madaraka ya Urais akiwa nje.
Nashauri baadala ya kutumia pesa nyingi kumuhudumia Makamu wa Rais na watu wake, ni bora kuondoa hicho cheo na Mazingira pamoja na Muungano vikaunganishwa kwenye Wizara ya mambo ya ndani .
Nafasi na cheo Cha Makamu wa Rais ni hatari sana kwa Rais aliye madarakani, hasa kama Makamu wa Rais akiwa sio mstaarabu,au ana tamaa ya madaraka, dakika Moja tu anakuwa Rais wa Nchi.Kwa Sasa Katiba ya Jamhuri ya Tanzania inatakiwa kupitiwa upya, na kuondoa cheo Cha Makamu wa Rais. Cheo hili hakina tija kinaongeza tu mlundikano wa vyeo visivyokuwa na maana.
Makamu wa Rais Hana mamlaka Kama aliyonayo Waziri Mkuu, ndio maana Waziri Mkuu anaweza kumfukuza au kumsimamisha kazi Mtumishi ila sio Makamu wa Rais.
Nafasi ya Makamu wa Rais imekuwa ceremonial tu. Makamu wa Rais anaweza kupotea hata miezi SITA na wananchi wasishangae au Makamu wa Rais ataonekana Sana kwenye ufunguzi wa warsha na makongamano.
Ni kweli Makamu wa Rais yupo kwaajili ya kukaimu nafasi ya urais Rais anapokuwa nje ya nchi, ila sio lazima yeye akaimu , Rais anaweza kumkaimisha yeyote madaraka ya Urais akiwa nje.
Nashauri baadala ya kutumia pesa nyingi kumuhudumia Makamu wa Rais na watu wake, ni bora kuondoa hicho cheo na Mazingira pamoja na Muungano vikaunganishwa kwenye Wizara ya mambo ya ndani .