Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio rahisi kuondoka vyote.Chochote kati ya cheo cha waziri mkuu au makamu wa Rais kingeondolewa tu.
Uliambiwa na nani Rais wa JMT anaweza kumkaimisha mtu mwingine Urais iwapo Makamu wa Rais yupo nchini? Unaijua Katiba ya JMT kweli au unaropoka tu?Maan ya cheo cha makamu nn kam raisi anawez mkaimisha mtu yoyote nafas ya urais endapo akiw rkzo au nje ya nchi ?
Naomb jibu la kikanuni ,sheria, kikatba
Makamu wa Rais ni Rais msaidizi anayekuwa tayari muda wowote kumsaidia Rais iwapo linatokea ambalo halikutarajiwa.Kwa Sasa Katiba ya Jamhuri ya Tanzania inatakiwa kupitiwa upya, na kuondoa cheo Cha Makamu wa Rais. Cheo hili hakina tija kinaongeza tu mlundikano wa vyeo visivyokuwa na maana.
Makamu wa Rais Hana mamlaka Kama aliyonayo Waziri Mkuu, ndio maana Waziri Mkuu anaweza kumfukuza au kumsimamisha kazi Mtumishi ila sio Makamu wa Rais.
Nafasi ya Makamu wa Rais imekuwa ceremonial tu. Makamu wa Rais anaweza kupotea hata miezi SITA na wananchi wasishangae au Makamu wa Rais ataonekana Sana kwenye ufunguzi wa warsha na makongamano.
Ni kweli Makamu wa Rais yupo kwaajili ya kukaimu nafasi ya urais Rais anapokuwa nje ya nchi, ila sio lazima yeye akaimu , Rais anaweza kumkaimisha yeyote madaraka ya Urais akiwa nje.
Nashauri baadala ya kutumia pesa nyingi kumuhudumia Makamu wa Rais na watu wake, ni bora kuondoa hicho cheo na Mazingira pamoja na Muungano vikaunganishwa kwenye Wizara ya mambo ya ndani .
Ili watu wasihisi una shida binafsi na Mpango, labda ungeanza kwanza na kuondoa wale waliojazana Zanzibar ili kuimarisha hoja yako.Kwa Sasa Katiba ya Jamhuri ya Tanzania inatakiwa kupitiwa upya, na kuondoa cheo Cha Makamu wa Rais. Cheo hili hakina tija kinaongeza tu mlundikano wa vyeo visivyokuwa na maana.
Makamu wa Rais Hana mamlaka Kama aliyonayo Waziri Mkuu, ndio maana Waziri Mkuu anaweza kumfukuza au kumsimamisha kazi Mtumishi ila sio Makamu wa Rais.
Nafasi ya Makamu wa Rais imekuwa ceremonial tu. Makamu wa Rais anaweza kupotea hata miezi SITA na wananchi wasishangae au Makamu wa Rais ataonekana Sana kwenye ufunguzi wa warsha na makongamano.
Ni kweli Makamu wa Rais yupo kwaajili ya kukaimu nafasi ya urais Rais anapokuwa nje ya nchi, ila sio lazima yeye akaimu , Rais anaweza kumkaimisha yeyote madaraka ya Urais akiwa nje.
Nashauri baadala ya kutumia pesa nyingi kumuhudumia Makamu wa Rais na watu wake, ni bora kuondoa hicho cheo na Mazingira pamoja na Muungano vikaunganishwa kwenye Wizara ya mambo ya ndani .
Mkuu mbona hilo ni swali , umekuja na majibu tofauti , soma uzi wa mdau, then mimi nimehitajii kuelemishwa sio kuzodolewaUliambiwa na nani Rais wa JMT anaweza kumkaimisha mtu mwingine Urais iwapo Makamu wa Rais yupo nchini? Unaijua Katiba ya JMT kweli au unaropoka tu?
Ok. Kifupi ukaimu wa Urais wa JMT upo Kikatiba. Jitahidi uitafute Katiba ya JMT uisome.Mkuu mbona hilo ni swali , umekuja na majibu tofauti , soma uzi wa mdau, then mimi nimehitajii kuelemishwa sio kuzodolewa