Ni muda Cheo cha Makamu wa Rais kifutwe Tanzania

Nitajie makamu wa Rais wa Uingereza na nitajie makamu wa Rais wa Ujeruamani
 

Wazo lako ni zuri mkuu
 
Aliye anzisha huuu uzi wakufuta vice presidency apigwe mawe, mkeka wake utakuwa ulichanika ndo akapata madness, saizi ameamka na grandiose delusions anaongea uchwalaaa tuu.kwanza afute uzi wake kabla haujamtokei puani bwabwa huyu

Una matatizo ya kiakili. Kamuone Daktari wa magonjwa ya akili. Nakupuuza na kukuonea huruma. Narudia Tena kamuone Daktari haraka Sana.
 

Shida yako unawaza uchama usiku na mchana. Mimi naongelea suala la Makamu wa Rais wa JMT wewe unaleta ngonjera za Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA. Nikikuuliza swali, Makamu Mwenyekiti wa CCM Sasa hivi ni nani?.

Naomba unijibu Hilo swali.
 
Raisi wa Zanzibar kumuwakilisha raisi wa muungano kwenye mkutano imekaaje? Kama naona giza! Labda makamo wa muungano hana nafasi.
 
Nimesema Makamu wa Rais, Kama nafasi sio mtu. Hii itapunguza gharama na mabajeti yasiyokuwa na maana. Halafu sijamzungumzia Waziri Mkuu labda Kama unamnukuu mtu mwingine.
Na kwann ifutwe unazijua vizuri kazi za makamu wa rais ndugu yangu .
Unajua umuhimu wake kwenye structure ya serikali.
Unajua yapi yanaweza kutokea kiusalama na kiutendaji hio nafasi ikifutwa.
Kwann usema gharama zitapungua umefanya home work Yako vizuri kujua tukifuta hio nafasi gharama zitapungua au zitaongezeka zaid..
 
Watu wanapeana vyeo ambayo havina maana,mkuu wa mkoa,mkuu wa wilaya naibu waziri mkuu usenge tu
 
Shida yako unawaza uchama usiku na mchana. Mimi naongelea suala la Makamu wa Rais wa JMT wewe unaleta ngonjera za Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA. Nikikuuliza swali, Makamu Mwenyekiti wa CCM Sasa hivi ni nani?.

Naomba unijibu Hilo swali.
kwahivyo gentleman, ukiona maelezo yangu tu unapata mawenge na kuona kama najadili chama fulani cha siasa pekee, kitu ambacho kina uhusiano wa moja kwa moja na hoja yako ya msingi? kuna ubaya au makosa gani hapo kwa mfano?

Hoja yako ya msingi ni nafasi ya Makamu au Naibu wa rais, ambayo kwenye taasisi hususani vyama vya siasa ni sawa tu na makamu mwenyekiti wa chama chochote cha siasa hususani chadema, nini kinakupa mawenge kwenye maelezo yangu ya msingi, gentleman?πŸ’


Press Conference ya mwenyekiti wa chadema dar es Salaam ataongea saa ngapi?πŸ’
 
Hakuna unachokijua.
 
Nitakupatia tu, wewe leta mazoea ya kijinga. Na siku nakupata hutajua. Nadhani tangu siku hiyo utaacha mazoea kwa wanaume yakijinga. Nakuonya mara ya mwisho.
Yani Wewe choko ni wakunionya mimi? Wonders shall never end.
 

Nafikiri kufuata cheo kimoja itakuwa sio solution. Kwanini isifanyike proper study ya structure nzima ya serikali na muundo wake ili kuona kama structure iliyopo ni relevant kwa sasa?
Dublication ya kazi na inefficiencies nyingi zitapungua, kama tutakuwa tunaenda na mahitaji ya wakati
 
Being Pragmatic nilishawahi kusema practically na kinachoendelea sasa tunaweza hata kufuta wabunge / ubunge; ingawa theoretically this is the best system we have ila practically kinachoendelea ni bora tukafuta hata wabunge..... tukawa na Rais wa mikoa, after all kama Rais ndio analeta maendeleo na kuweza kutoa pesa kila akifanya ziara huenda na hawa marahisi (no pun intended) wa mikoa wanaweza wakagawa pesa na maendeleo

 
Nafasi na cheo Cha Makamu wa Rais ni hatari sana kwa Rais aliye madarakani, hasa kama Makamu wa Rais akiwa sio mstaarabu,au ana tamaa ya madaraka, dakika Moja tu anakuwa Rais wa Nchi.

πŸ˜€πŸ˜€

Rais ajaye 2025 ni Mwanaume mkristu πŸ™πŸ™πŸ˜€

Kanisa Moja, Takatifu Katoliki la Mitume.

πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…