Ni muda Cheo cha Makamu wa Rais kifutwe Tanzania

Maan ya cheo cha makamu nn kam raisi anawez mkaimisha mtu yoyote nafas ya urais endapo akiw rkzo au nje ya nchi ?
Naomb jibu la kikanuni ,sheria, kikatba
 
Maan ya cheo cha makamu nn kam raisi anawez mkaimisha mtu yoyote nafas ya urais endapo akiw rkzo au nje ya nchi ?
Naomb jibu la kikanuni ,sheria, kikatba
Uliambiwa na nani Rais wa JMT anaweza kumkaimisha mtu mwingine Urais iwapo Makamu wa Rais yupo nchini? Unaijua Katiba ya JMT kweli au unaropoka tu?
 
Makamu wa Rais ni Rais msaidizi anayekuwa tayari muda wowote kumsaidia Rais iwapo linatokea ambalo halikutarajiwa.
Makamu ni msaidizi wa muhimu sana, leo hii Samia akikutwa na baya lolote Isidory Mpango anakuwa Rais kwa kuapishwa tu na shughuli za nchi zinaendelea kama kawaida.
 
Ili watu wasihisi una shida binafsi na Mpango, labda ungeanza kwanza na kuondoa wale waliojazana Zanzibar ili kuimarisha hoja yako.

Lakini, mkuu huoni kama hiyo nafasi ilisaidia kuzima lile 'vuguvugu' baada ya kifo cha mwendazake huku akiwa kwenye kiti?

Ova
 
Uliambiwa na nani Rais wa JMT anaweza kumkaimisha mtu mwingine Urais iwapo Makamu wa Rais yupo nchini? Unaijua Katiba ya JMT kweli au unaropoka tu?
Mkuu mbona hilo ni swali , umekuja na majibu tofauti , soma uzi wa mdau, then mimi nimehitajii kuelemishwa sio kuzodolewa
 
Mkuu mbona hilo ni swali , umekuja na majibu tofauti , soma uzi wa mdau, then mimi nimehitajii kuelemishwa sio kuzodolewa
Ok. Kifupi ukaimu wa Urais wa JMT upo Kikatiba. Jitahidi uitafute Katiba ya JMT uisome.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…