Fuatilia sana hotuba za Magufuli.Nauliza hili swali kwa sababu hapa duniani inashangaza sana.
Ukitafakari na kuwaza ili ufanye maamuzi ya busara utaonekana umezubaa, mzembe au hujachangamka yani huna maamuzi ya haraka.
Ukiwa na haraka ukiwa ni mtu wa kuamua mapema, fasta haraka bila kuchelewa, hujazubaa, siku ukikosea tu utaambiwa
tatizo hifikirii, mtu wa kukurupuka, hutafakari kwanza, mzembe n.k. haraka haraka hupoteza baraka.
Sasa nauliza je, ni wakati gani sahihi wa kuamua mambo/jambo ili isionekane na hizo kasoro au hizo lawama?
Hata huyo mfanyakazi unaweza kumfukuza na biashara yako ikafa pia,ukaanza kujilaumuHujasema upo ktk situation gani kila tukio lina taratibu zake kulitatua mf;kama unataka kufanya maamuzi ya kumfukuza mtu uliyemuajiri kisha ukahisi anakuibia hauwezi kufananisha na na maamuzi utakayochukua ukimuhisi mkeo anakusaliti.
Hapo mmoja unafukuza faster while mmoja utapeleleza kwanza kujihakikishia.
Kuchelewa au kuharakisha,huu uzi ni konki sema umekosa tu wachangiaji,ila ni swali fikirishi sanaWakati sahihi ni pale utakapokua tayaru kufanya jambo sahihi...
Fanya maamuzi magumu lakini sahihi ukiwaNauliza hili swali kwa sababu hapa duniani inashangaza sana.
Ukitafakari na kuwaza ili ufanye maamuzi ya busara utaonekana umezubaa, mzembe au hujachangamka yani huna maamuzi ya haraka.
Ukiwa na haraka ukiwa ni mtu wa kuamua mapema, fasta haraka bila kuchelewa, hujazubaa, siku ukikosea tu utaambiwa
tatizo hifikirii, mtu wa kukurupuka, hutafakari kwanza, mzembe n.k. haraka haraka hupoteza baraka.
Sasa nauliza je, ni wakati gani sahihi wa kuamua mambo/jambo ili isionekane na hizo kasoro au hizo lawama?
Thanks mzee wa ngukuMaamuzi magumu yasikie tu,hapa nilipo ni kijana ila nimepatwa na depression,stress,kisukari,presha na kadhalika.Price to pay ya kufanya maamuzi magumu ni kubwa sana kiasi kwamba wanaokwepa kufanya maamuzi magumu wapo sahihi.
View attachment 1821908
Hilo linakuhusu hata ww pia.Hujasema upo ktk situation gani kila tukio lina taratibu zake kulitatua mf;kama unataka kufanya maamuzi ya kumfukuza mtu uliyemuajiri kisha ukahisi anakuibia hauwezi kufananisha na na maamuzi utakayochukua ukimuhisi mkeo anakusaliti.
Hapo mmoja unafukuza faster while mmoja utapeleleza kwanza kujihakikishia.