Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,621
- 4,293
Nauliza hili swali kwa sababu hapa duniani inashangaza sana.
Ukitafakari na kuwaza ili ufanye maamuzi ya busara utaonekana umezubaa, mzembe au hujachangamka yani huna maamuzi ya haraka.
Ukiwa na haraka ukiwa ni mtu wa kuamua mapema, fasta haraka bila kuchelewa, hujazubaa, siku ukikosea tu utaambiwa
tatizo hifikirii, mtu wa kukurupuka, hutafakari kwanza, mzembe n.k. haraka haraka hupoteza baraka.
Sasa nauliza je, ni wakati gani sahihi wa kuamua mambo/jambo ili isionekane na hizo kasoro au hizo lawama?