Ni muda gani sahihi wa kufanya maamuzi magumu?

Kibosho1

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
2,621
Reaction score
4,293
Nauliza hili swali kwa sababu hapa duniani inashangaza sana.

Ukitafakari na kuwaza ili ufanye maamuzi ya busara utaonekana umezubaa, mzembe au hujachangamka yani huna maamuzi ya haraka.

Ukiwa na haraka ukiwa ni mtu wa kuamua mapema, fasta haraka bila kuchelewa, hujazubaa, siku ukikosea tu utaambiwa
tatizo hifikirii, mtu wa kukurupuka, hutafakari kwanza, mzembe n.k. haraka haraka hupoteza baraka.

Sasa nauliza je, ni wakati gani sahihi wa kuamua mambo/jambo ili isionekane na hizo kasoro au hizo lawama?
 
Siku ukiipuuza hiyo "itaonekana" ndipo utapiga hatua kuyaendea maamuzi ya maisha yako.
 
Nauliza hili swali kwa sababu hapa duniani inashangaza sana.

Ukitafakari na kuwaza ili ufanye maamuzi ya busara utaonekana umezubaa, mzembe au hujachangamka yani huna maamuzi ya haraka.

Ukiwa na haraka ukiwa ni mtu wa kuamua mapema, fasta haraka bila kuchelewa, hujazubaa, siku ukikosea tu utaambiwa
tatizo hifikirii, mtu wa kukurupuka, hutafakari kwanza, mzembe n.k. haraka haraka hupoteza baraka.

Sasa nauliza je, ni wakati gani sahihi wa kuamua mambo/jambo ili isionekane na hizo kasoro au hizo lawama?
Fuatilia sana hotuba za Magufuli.
 
Hujasema upo ktk situation gani kila tukio lina taratibu zake kulitatua mf;kama unataka kufanya maamuzi ya kumfukuza mtu uliyemuajiri kisha ukahisi anakuibia hauwezi kufananisha na na maamuzi utakayochukua ukimuhisi mkeo anakusaliti.

Hapo mmoja unafukuza faster while mmoja utapeleleza kwanza kujihakikishia.
 
Hata huyo mfanyakazi unaweza kumfukuza na biashara yako ikafa pia,ukaanza kujilaumu
 
Wakati sahihi ni pale utakapokua tayaru kufanya jambo sahihi...
 
Nauliza hili swali kwa sababu hapa duniani inashangaza sana.

Ukitafakari na kuwaza ili ufanye maamuzi ya busara utaonekana umezubaa, mzembe au hujachangamka yani huna maamuzi ya haraka.

Ukiwa na haraka ukiwa ni mtu wa kuamua mapema, fasta haraka bila kuchelewa, hujazubaa, siku ukikosea tu utaambiwa
tatizo hifikirii, mtu wa kukurupuka, hutafakari kwanza, mzembe n.k. haraka haraka hupoteza baraka.

Sasa nauliza je, ni wakati gani sahihi wa kuamua mambo/jambo ili isionekane na hizo kasoro au hizo lawama?
Fanya maamuzi magumu lakini sahihi ukiwa
Huna sononi
Ukiwa huna ukiwa sana
Ukiwa huna furaha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa mnene utaambiwa mroho
Ukikonda utaambiwa mgonjwa
 
Maamuzi magumu yasikie tu,hapa nilipo ni kijana ila nimepatwa na depression,stress,kisukari,presha na kadhalika.Price to pay ya kufanya maamuzi magumu ni kubwa sana kiasi kwamba wanaokwepa kufanya maamuzi magumu wapo sahihi.

_20210610_065751.jpg
 
Muda wa kufanya maamuzi magumu ni ule muda ukicheki mambo yako unaona yameegeshwa vibaya hivyo muda wowote yanaweza kukuporomokea.
 
Hujasema upo ktk situation gani kila tukio lina taratibu zake kulitatua mf;kama unataka kufanya maamuzi ya kumfukuza mtu uliyemuajiri kisha ukahisi anakuibia hauwezi kufananisha na na maamuzi utakayochukua ukimuhisi mkeo anakusaliti.

Hapo mmoja unafukuza faster while mmoja utapeleleza kwanza kujihakikishia.
Hilo linakuhusu hata ww pia.
 
Back
Top Bottom