Bado tunazungumzia suala lile lile mana nikishindana na mkenya nami nitanunua kwa Bei ya juu nikiuza kwenye soko la ndani bado nitauza kwa bei ya juu na kuwaumiza wengine.Kama kweli nyie niwazalendo kwann msinunue kwabei nzuri kuliko wakenya ili mazao yabaki hapapa tanzania.
Baada ya kushauri tuongeze uzalishaji ja kilimo Cha umwagiliaji pamoja na mazao mbadala kama mihogo wewe unashauri tufunge mipaka ili mkulima apate hasaraWatu wakila wakashiba amani inakuwepo. Ila ukiruhusu taifa lako liwe na njaa amani hutoweka kila mahali na ikizidi taifa huangamia. Bora mfumuko wa bei uwepo mana ni janga la dunia ila njaa njaaa sijui.
Bora umeliona hilo kiongozi. Huku nilipo, wakenya wanakuja mpaka mashambani kununua mpunga. Hii ni hatari sana. Kwanza wanaua ajira za vijana waliojiajiri kama wanunuzi wa kati yaani antoa mpunga shambani, anakoboa na kupeleka mchele sokoni. Pili wanaua viwanda vyetu. Tatu, hiyo pesa wanayonunulia huku ni ndogo sana kulinganisha na faida wanayoenda kupata huko kwao. Nne, wanabeba hadi pumba ambazo huku kwetu tunalishia mifugo na pia tunachomea tofali. Kwa kifupi, bila kufunga mipaka taifa litapigwa technical KO.Mimi silimi ila nanunua mazao, wakulima wanauza mazao kwa fujo na wakenya wamekuja kulangua mazao ya chakula tani kwa tani kwa dau la kutamanisha tofauti na nyuma, kweli wamepata hela Ila wanauza hadi wanasahau kuwa kuna kesho na hali ya hewa haitabiriki.
Nasikia njaa imehamia kaskazini-mashariki ya Uganda,,, sasa ni Kenya,Somalia,Ethiopia na Uganda,,,Mungu atulin
Ni kweli, Mungu atuepushie tu janga hili na viongozi wawe na busara.Nasikia njaa imehamia kaskazini-mashariki ya Uganda,,, sasa ni Kenya,Somalia,Ethiopia na Uganda,,,Mungu atulinde!
Akipata njaa ndo ataikumbuka keshoMimi silimi ila nanunua mazao, wakulima wanauza mazao kwa fujo na wakenya wamekuja kulangua mazao ya chakula tani kwa tani kwa dau la kutamanisha tofauti na nyuma, kweli wamepata hela Ila wanauza hadi wanasahau kuwa kuna kesho na hali ya hewa haitabiriki.
Hahaaa irrigation scheme hizo za kulisha nchi nzima ziko wapi? Hiyo ni sera ya muda mrefu tuangalie kwanza hali tuliyonayo kwa Sasa ili tujinasue. Utaipanda miogo kiangazi hiki?Baada ya kushauri tuongeze uzalishaji ja kilimo Cha umwagiliaji pamoja na mazao mbadala kama mihogo wewe unashauri tufunge mipaka ili mkulima apate hasara
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui nani anaruhusu upuuzi huu, inakuwaje wakenya wanaruhusiwa kwenda kununua mazao mashambani badala ya kusubiri yaletwe kwenye minada? nchi ina watu wa hovyo sana. Yakitokea ya Sri lanka wao wanawahi usafiri wa ndege.Bora umeliona hilo kiongozi. Huku nilipo, wakenya wanakuja mpaka mashambani kununua mpunga. Hii ni hatari sana. Kwanza wanaua ajira za vijana waliojiajiri kama wanunuzi wa kati yaani antoa mpunga shambani, anakoboa na kupeleka mchele sokoni. Pili wanaua viwanda vyetu. Tatu, hiyo pesa wanayonunulia huku ni ndogo sana kulinganisha na faida wanayoenda kupata huko kwao. Nne, wanabeba hadi pumba ambazo huku kwetu tunalishia mifugo na pia tunachomea tofali. Kwa kifupi, bila kufunga mipaka taifa litapigwa technical KO.
Kama kweli nyie niwazalendo kwann msinunue kwabei nzuri kuliko wakenya ili mazao yabaki hapapa tanzania.
Bora umeliona hilo kiongozi. Huku nilipo, wakenya wanakuja mpaka mashambani kununua mpunga. Hii ni hatari sana. Kwanza wanaua ajira za vijana waliojiajiri kama wanunuzi wa kati yaani antoa mpunga shambani, anakoboa na kupeleka mchele sokoni. Pili wanaua viwanda vyetu. Tatu, hiyo pesa wanayonunulia huku ni ndogo sana kulinganisha na faida wanayoenda kupata huko kwao. Nne, wanabeba hadi pumba ambazo huku kwetu tunalishia mifugo na pia tunachomea tofali. Kwa kifupi, bila kufunga mipaka taifa litapigwa technical KO.
Waswahili wana msemo wao usemao damu ni nzito kuliko maji. Hata Yusufu aliwaokoa ndugu zake kwa namna hiyo hiyo.Sijui nani anaruhusu upuuzi huu, inakuwaje wakenya wanaruhusiwa kwenda kununua mazao mashambani badala ya kusubiri yaletwe kwenye minada? nchi ina watu wa hovyo sana. Yakitokea ya Sri lanka wao wanawahi usafiri wa ndege.
Yaani mtu alime halafu umpangie bei na sehemu ya kuuza?! Wewe mbona hukukima ili uepukane na njaa?Watu wakila wakashiba amani inakuwepo. Ila ukiruhusu taifa lako liwe na njaa amani hutoweka kila mahali na ikizidi taifa huangamia. Bora mfumuko wa bei uwepo mana ni janga la dunia ila njaa njaaa sijui.
Ulishaona nchi gani ambayo kila mtu ni mkulima, lazima serikali iweke control kwenye kila eneo vinginevyo katafute nchi yako utakayojifanyia mambo unavyotaka.Yaani mtu alime halafu umpangie bei na sehemu ya kuuza?! Wewe mbona hukukima ili uepukane na njaa?
Kwa hiyo unataka wakulima wauze mahindi elfu 20 kwa gunia? Acheni upumbavu na kuwa na akili mgando. Kama unaona wakulima wanafaidika na wewe nenda kalime. Acha wivu wa kishoga. Shoga mwenzako anagongwa chumba cha pili na ww unajamba.Gunia la mahindi litanunuliwa 200K ikiwa huyu mama (slow learner) hatapata mtu wa kumsanua.
Yani hii ni july wakati wa mavuno ila vyakula bado ni bei ghali, gunia la mahindi kwasasa ni 120K.
Sio linaenda limeshaenda.........hio huitwa "Inflation"....Jana kwa U.S imefika hadi 9.1%,which is 40 years high,....sembuse kwa TZ tunaimport bidhaa zaidi ya 90%.Kuna mahala nilikuwa naongea na jamaa anasema sembe kilo 5 imefika elfu tisa kwa hapa Dar, na hii ni July kipindi cha mavuno. Majuzi hapa niliona sabuni ya kuogea ya Protex ambayo nilikuwa nainunua kwa 2500 baadaye 2800 imeshafika 3500. Hii kasi ya kupanda kwa vitu muhimu kwa matumizi ya watu linaenda kuwa janga kubwa sana.
Gunia la mahindi litanunuliwa 200K ikiwa huyu mama (slow learner) hatapata mtu wa kumsanua.
Yani hii ni july wakati wa mavuno ila vyakula bado ni bei ghali, gunia la mahindi kwasasa ni 120K.
Sawa, ila ni kwanini na wewe hukua miongoni mwa waliolimaUlishaona nchi gani ambayo kila mtu ni mkulima, lazima serikali iweke control kwenye kila eneo vinginevyo katafute nchi yako utakayojifanyia mambo unavyotaka.
Kumbe hapa ishu ni kuongea na wananchi wetu kutunza chakula.Binafsi Mimi ni mkulima wa mpunga.mwaka Jana tulivuna Kwa combining harvester ef 80,000 Kwa Heka ila mwaka huu ni 120,000 natarajia kuvuna next week hivyo ntauza nusu ya mavuno yanisaidie gharama za uvunajiMimi silimi ila nanunua mazao, wakulima wanauza mazao kwa fujo na wakenya wamekuja kulangua mazao ya chakula tani kwa tani kwa dau la kutamanisha tofauti na nyuma, kweli wamepata hela Ila wanauza hadi wanasahau kuwa kuna kesho na hali ya hewa haitabiriki.
Daah! Mkuu kumbe na wewe unafikiria kama mimiWatu wakila wakashiba amani inakuwepo. Ila ukiruhusu taifa lako liwe na njaa amani hutoweka kila mahali na ikizidi taifa huangamia. Bora mfumuko wa bei uwepo mana ni janga la dunia ila njaa njaaa sijui.