Luteni Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 1, 2019
- 337
- 312
Duuh !Gunia la mahindi litanunuliwa 200K ikiwa huyu mama (slow learner) hatapata mtu wa kumsanua.
Yani hii ni july wakati wa mavuno ila vyakula bado ni bei ghali, gunia la mahindi kwasasa ni 120K.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh !Gunia la mahindi litanunuliwa 200K ikiwa huyu mama (slow learner) hatapata mtu wa kumsanua.
Yani hii ni july wakati wa mavuno ila vyakula bado ni bei ghali, gunia la mahindi kwasasa ni 120K.
Mzalendo yoyote aonyeshe uzalendo kwa wakulima walio wengi nchini kwa kupanda dau watajirike.Kama kweli nyie niwazalendo kwann msinunue kwabei nzuri kuliko wakenya ili mazao yabaki hapapa tanzania.
Kumuumiza nani? Utamfaidisha mkulima ambaye ni Mtanzania mwenzako aliyepo kijijini shambani huko akipambana. Sasa hivi wakenya ndo wanawaona wakulima wa Tanzania ni wakombozi ila watanzania wanataka wazurure mijini huko wakati mashamba yapo halafu raisi apige marufuku mazao yasitoke nje ili wayapate kwa bei bwerere.Bado tunazungumzia suala lile lile mana nikishindana na mkenya nami nitanunua kwa Bei ya juu nikiuza kwenye soko la ndani bado nitauza kwa bei ya juu na kuwaumiza wengine.
Fresh tu haunikomoi mimi mana Mimi na wewe tumeshiba hadi tumejisahau kuwa wazalendo, kizazi chetu hiki kimejaa ubinafsi tutaua taifa kwa upumbavu. Utampelekeaje chakula jirani yako ili umfurahishe wakati nyumbani kwako watu wanalia njaa. Unachokitafuta ni nini?Wakati Mbolea na pembejeo ipo juu mlikuwa mnajitoa akili na kuwaona wakulima kama hawana maana yoyote sio.Waacheni wauze kwa Bei nzuri Mkitaka kuepusha njaa wewe na familia yako nunueni chakula kwa bei iliyopo sokoni Muhifadhi mapema..
Binafsi naipongeza Serikali kwa kutofunga mipaka na kuendelea kuwasaidia nchi jirani dhidi ya janga la njaa[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Cobra Kwani chakula kinagawiwa bure huko kwa jirani? Ujamaa umetufanya kitu mbaya sana.Fresh tu haunikomoi mimi mana Mimi na wewe tumeshiba hadi tumejisahau kuwa wazalendo, kizazi chetu hiki kimejaa ubinafsi tutaua taifa kwa upumbavu. Utampelekeaje chakula jirani yako ili umfurahishe wakati nyumbani kwako watu wanalia njaa. Unachokitafuta ni nini?
Hilo Mimi nalikubali kwa asilimia kubwa kama vyanzo vya maji kwa nchi yetu tunavyo vingi, sera ya Kilimo kwanza ilikuwa mkombozi kwa nchi yetu je iliishia wapi? Sera tunazo nzuri sana, wataalamu kila leo wanamaliza vyuo, ardhi ya Kilimo tunayo kubwa sana je kati ya hizo resources implementation yake ipoje!Serikali inatakiwa kuwekeza kwenye kilimo cha umwagiliaji kama demand inaenda kuwa juu vijana wapewe mashamba walime. Sio kuumiza wakulima wachache wanaoteseka na kilimo cha mvua kwa kuhakikisha mazao yao hayana soko ili yashuke bei.
Sijui nani anaruhusu upuuzi huu, inakuwaje wakenya wanaruhusiwa kwenda kununua mazao mashambani badala ya kusubiri yaletwe kwenye minada? nchi ina watu wa hovyo sana. Yakitokea ya Sri lanka wao wanawahi usafiri wa ndege.
Hata kama lakini hata kama kama ungekuwa ni wewe ungeruhusu kumuuzia chakula jirani ilihali nyumbani mwako kumekumbwa na njaa isiyokuwa ya kawaida.Cobra Kwani chakula kinagawiwa bure huko kwa jirani? Ujamaa umetufanya kitu mbaya sana.
Kabisa mkuu. Dar tu hapo kuna vijana kibao wameacha mashamba kwasababu waliona hayalipi.Kilimo hakiwezi kukua kama bei anayopata mkulima haiwezi kucover gharama za uzalishaji. Haiwezekani ukae mjini ukiuza tu pipi ukitegemea mahindi ya bei sawa na bure waliyolima wazee.
Acha inyeshe tuone panapovuja
Huwa sina kawaida ya kubishana na masikini.Kwa hiyo unataka wakulima wauze mahindi elfu 20 kwa gunia? Acheni upumbavu na kuwa na akili mgando. Kama unaona wakulima wanafaidika na wewe nenda kalime. Acha wivu wa kishoga. Shoga mwenzako anagongwa chumba cha pili na ww unajamba.
Ukizunguka TZ utakubaliana na mm kuwa tuna vyanzo vya maji vya kutosha. Achilia mbali visima kwa yale maeneo ambayo ni lazima yachimbwe. Ni vile ni project ya mapesa mengi sana ambayo wanasiasa hawapendi kuyaelekeza yaende kwenye kilimo na ukijumlisha na ufisadi tunakuwa kwenye changamoto ya implimantation.Hilo Mimi nalikubali kwa asilimia kubwa kama vyanzo vya maji kwa nchi yetu tunavyo vingi, sera ya Kilimo kwanza ilikuwa mkombozi kwa nchi yetu je iliishia wapi? Sera tunazo nzuri sana, wataalamu kila leo wanamaliza vyuo, ardhi ya Kilimo tunayo kubwa sana je kati ya hizo resources implementation yake ipoje!
Upo sahihiUkizunguka TZ utakubaliana na mm kuwa tuna vyanzo vya maji vya kutosha. Achilia mbali visima kwa yale maeneo ambayo ni lazima yachimbwe. Ni vile ni project ya mapesa mengi sana ambayo wanasiasa hawapendi kuyaelekeza yaende kwenye kilimo na ukijumlisha na ufisadi tunakuwa kwenye changamoto ya implimantation.
Sipati picha mtu kama JPM alivyokuwa serious na usimamizi angeamua kilimo cha umwagiliaji badala ya kuboost tourism kwa kununua ndege na ujenzi wa viwanja, hii nchi angekuwa ameiacha alama kubwa sana.
Ila msema ukweli ni mpenzi wa mungu kwa huyu raisi tumepigwa za uso mkuu.Ukizunguka TZ utakubaliana na mm kuwa tuna vyanzo vya maji vya kutosha. Achilia mbali visima kwa yale maeneo ambayo ni lazima yachimbwe. Ni vile ni project ya mapesa mengi sana ambayo wanasiasa hawapendi kuyaelekeza yaende kwenye kilimo na ukijumlisha na ufisadi tunakuwa kwenye changamoto ya implimantation.
Sipati picha mtu kama JPM alivyokuwa serious na usimamizi angeamua kilimo cha umwagiliaji badala ya kuboost tourism kwa kununua ndege na ujenzi wa viwanja, hii nchi angekuwa ameiacha alama kubwa sana.
Nikuulize, unadhani kilimo kikiendelea kukosa soko kila wakati kwa sababu ya bei nani atalima kwa ajili ya nchi miaka ya mbele? Nguvu kazi ya taifa inakimbia kilimo kwa kasi.Hata kama lakini hata kama kama ungekuwa ni wewe ungeruhusu kumuuzia chakula jirani ilihali nyumbani mwako kumekumbwa na njaa isiyokuwa ya kawaida.
Hapana yupo vizuri shida wanaomzunguka ukifanya tafiti kubwa karibu wanasiasa wengi ni wafanyabiashara wakubwa, changamoto za wananchi kwao ni vyanzo vya kutajirikia na wengine wanatengeneza matatizo maksudi kwa manufaa yao wenyewe wenda watajirikie, kujitengenezea nafasi fulani au kumwaribia mwingine husitegemee watu wa namna hiyo kama watamshauri vizuri na wengine ni waoga wa kukosoa wanahisi kukosoa ni sawa na kujitengezea jeneza.Ila msema ukweli ni mpenzi wa mungu kwa huyu raisi tumepigwa za uso mkuu.
Hakuna raisi ambaye alipatia au kufeli kwenye kila kitu. Tanzania tuna tatizo la mfumo watu badala ya mfumo nchi. Mfumo watu umejificha ndani ya mfumo chama ndo maana mwakilishi wa hao watu akibadilika na sera za nchi zinabadilika. Kama mfumo ungekuwa ni wa nchi na sera zake yoyote ajaye angefata sera iliyopo kwa wakati huo. Sisi hatuna hilo na ndio udhaifu aliotuachia nyerere.Ila msema ukweli ni mpenzi wa mungu kwa huyu raisi tumepigwa za uso mkuu.
Unajua sikuzote ukiusema ukweli lazima utaonekana unaenda kinyume na watatafuta kila njia ya kukuangamiza karibu tanzania.Hapana yupo vizuri shida wanaomzunguka ukifanya tafiti kubwa karibu wanasiasa wengi ni wafanyabiashara wakubwa, changamoto za wananchi kwao ni vyanzo vya kutajirikia na wengine wanatengeneza matatizo maksudi kwa manufaa yao wenyewe wenda watajirikie, kujitengenezea nafasi fulani au kumwaribia mwingine husitegemee watu wa namna hiyo kama watamshauri vizuri na wengine ni waoga wa kukosoa wanahisi kukosoa ni sawa na kujitengezea jeneza.
Kabisaa hili ni suala la kwenda na nyakati mkuu .Hakuna raisi ambaye alipatia au kufeli kwenye kila kitu. Tanzania tuna tatizo la mfumo watu badala ya mfumo nchi. Mfumo watu umejificha ndani ya mfumo chama ndo maana mwakilishi wa hao watu akibadilika na sera za nchi zinabadilika. Kama mfumo ungekuwa ni wa nchi na sera zake yoyote ajaye angefata sera iliyopo kwa wakati huo. Sisi hatuna hilo na ndio udhaifu.