mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani, nimeshindwa kuelewa mkuu 'Mr mutuu'!Nilikua nadhani ni kwenye majiji makubwa tu ila tuwe wakweli picha ya rais Samia ipo kwenye mabango karibu nchi nzima tena sehemu karibu zote potential kibiashara
Kuna mahali nilikua na kakibanda tena ndanindani sio hata main road, njia Haina hata lami walikuja TRA wakanipigia hesabu laki 3 kwa mwaka tukashindwana ikabidi nilitoe lile bango, sasa TRA mje mtueleze hayo mabango nchi nzima nani analipia kama ni chama, serikali, au watu binafsi na yanaingiza pesa kiasi Gani?
Kwa hiyo mabango ya rais yanalipiwa, na nani na kwa kiasi gani. Hii pesa inatoka mfuko gani?nadhani yeyote yule yuko huru kuweka mabango popote nchini ikiwa anaona inafaa, na ikiwa atapata idhini ya mamlaka husika kwenye eneo husika....
hakuna bango maalumu popote nchi , lisilolipiwa wala eti halina idhini ya mamlaka husika, labda yale ya waganga wa jadi ya kurudisha mpenz aliepotea 🐒
Kodi ni ya bango tu, achilia mbali biashara, wanapima size ya bango kwa upana na urefu afu wanakupa makadirioSamahani, nimeshindwa kuelewa mkuu 'Mr mutuu'!
Ulikuwa na "kakibanda" uchochoroni. Hapa nimeelewa kuwa ulikuwa na kibiashara chako.
"TRA wakakupigia hesabu laki 3 kwa mwaka"- nimeelewa kwamba hiyo laki tatu ilikuwa kodi uliyopaswa kulipia hiyo biashara yako kwa mwaka.
"ikabidi nilitoe lile bango" - hapa ndipo nilipochanganyikiwa hasa. Hilo bango ndilo TRA walilolikadiria laki 3 kwa mwaka?
Mwisho. Nani aliyekuwekea/kupa hilo bango; na ulipoliondoa uliliwasilisha wapi?
Rostam Azizi kasambaza haya mabangoNilikua nadhani ni kwenye majiji makubwa tu ila tuwe wakweli picha ya rais Samia ipo kwenye mabango karibu nchi nzima tena sehemu karibu zote potential kibiashara
Kuna mahali nilikua na kakibanda tena ndanindani sio hata main road, njia Haina hata lami walikuja TRA wakanipigia hesabu laki 3 kwa mwaka tukashindwana ikabidi nilitoe lile bango, sasa TRA mje mtueleze hayo mabango nchi nzima nani analipia kama ni chama, serikali, au watu binafsi na yanaingiza pesa kiasi Gani?
Ahsante. Sasa nime elewa.Kodi ni ya bango tu, achilia mbali biashara, wanapima size ya bango kwa upana na urefu afu wanakupa makadirio
Bango hupewi, unaweka mwenyewe kujulisha watu uwepo wa Hio biashara yakoAhsante. Sasa nime elewa.
Ila nina swali, kwa vile sina uzoefu kabisa na maswala ya aina hii.
Unapo pewa bango, na kuliweka hapo mahala pako, unapewa chochote kuhusiana na bango hilo; au ni kama kivutio tu cha biashara yako; au kuunga mkono/shabiki tu wa huyo mwenye bango lake?
Siyo muhimu ujibu hili kama linakupotezea muda. Sehemu muhimu ni hiyo uliyo nipa elimu juu yake hapo juu.
Baada ya mataifa mengi ya kiafrika kupata uhuru miaka 1960s,Mengi yalijikuta yameingia kwenye utumwa mpya,tena mbaya zaidi kuliko ule wa wakoloni.Watanzania tushakua kama makondoo, mtu nauliza swali basic tu mtu anajibu uchochezi, tumerudi enzi za utumwa sasa huku tukitawaliwa na weusi wenzetu
Mkuki kwa nguruwe ee. Mbona jpm alisambaza mabango nchi nzima kwama yeye ndo rais aliyetumw na mungu. Unajua tanzania kwa mara ya kwanza tuliishi na shetani bila kujuaNilikua nadhani ni kwenye majiji makubwa tu ila tuwe wakweli picha ya rais Samia ipo kwenye mabango karibu nchi nzima tena sehemu karibu zote potential kibiashara
Kuna mahali nilikua na kakibanda tena ndanindani sio hata main road, njia Haina hata lami walikuja TRA wakanipigia hesabu laki 3 kwa mwaka tukashindwana ikabidi nilitoe lile bango, sasa TRA mje mtueleze hayo mabango nchi nzima nani analipia kama ni chama, serikali, au watu binafsi na yanaingiza pesa kiasi Gani?
Jpm nae alipokua anakosea tulihoji vile vile, kwa kua jpm aliharibu basi tumuache na huyu aharibu? Akija mwingine nae vile vile?Mkuki kwa nguruwe ee. Mbona jpm alisambaza mabango nchi nzima kwama yeye ndo rais aliyetumw na mungu. Unajua tanzania kwa mara ya kwanza tuliishi na shetani bila kujua
Muache aharibu kila mtu kwa wakati wakeJpm nae alipokua anakosea tulihoji vile vile, kwa kua jpm aliharibu basi tumuache na huyu aharibu? Akija mwingine nae vile vile?
Hata ikiwa abbortion sawa tuAbomination
Ni main road jamaa alisema potelea pote asipouza basi ila hawezi toa hela yote hiyo kulipia bango heri aijazie hadi bidhaa 😃Main road huwezi kutoboa, mi kwangu vichochoroni tu nilipigwa laki 3
Ila sisi wabongo nao ni waoga sana. Tungekuwa majasiri wala maswali kama haya yasingekuwepo kwa sababu mabango yote yangetoweka kwa uchawi.Tunalipa Kodi inapaswa tujue zinatumikaje