Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #21
Vyema sana mkuu, nitajitahidi nisiamke kwa mawenge, yani nitulie kwanza kabla ya kukurupuka. Hii hali ni ya muda mrefu sana, pia ni kweli sio ndoto zote zina maana ila ni muhimu kukumbuka japo kidogo tuUkitaka kuikumbuka ndoto uliyoota ni rahisi tu ni kama vile unavyostuka mkojo ukikubana,basi unaweza kujitafuta kila wakati ukiota jilazimishe kuamka. Ukiweza kuamka kila wakati,usiamke kwa kama unastuka. Amka soft tu anza kuwaza ulivyokuwa usingizini ilazimishe akili ivute kumbukumbuku ndoto yako. Anza na tukio kubwa kubwa lililojirudia rudia kwenye ndoto yako. Mwisho utaweza kukumbuka ndoto zako. Japo sio muhimu. Mimi huwa nikiota ndoto mbaya najilazimisha sana niamke hata katikati ya ndoto. Ukija kulala huwezi kuota tena ile ile ndoto.