Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Inamaanisha nini mpendwaNimetoa nimepoteza viatu,, yaani ndoto mbaya hii usiwah omba kuota
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inamaanisha nini mpendwaNimetoa nimepoteza viatu,, yaani ndoto mbaya hii usiwah omba kuota
Huwa nawashangaa sana watu wanao sema ndoto hazina maana,wanaona hazina maana kwakuwa huenda hawapati tafsir ya moja kwa moja
Mama watoto wangu ndoto zake nazo huwa ni kweli kabisa,tena kuhusu misiba ndio balaa,kuna wakati aliniambia ameota kuna msiba kwetu na kweli kesho yake napata taarifa ya msiba
Binafsi nikiota kitu nakipata basi ujue sipati,yaani ni vise versa,,kwa mfano kuna siku niliota boss wangu ananipa hela mingi,na ikatokea situation nikahitaji hela ile kumwambia alinitosa katoa sababu kibao,,,kuna mchongo wa kazi ulikuwa na connection nzur ilikuwa ni swala la kuingia mzigoni,nikaota nipo kazini tayar matokeo yake sikupata hiyo kazi
Ni kweli.Kuna pastor aliniambia, ukiona huoti au hukumbuki ndoto yoyote bhasi umeanza kufa kiroho. Kwa hiyo rudi kwenye sala na sadaka.
Huwa nawashangaa sana watu wanao sema ndoto hazina maana,wanaona hazina maana kwakuwa huenda hawapati tafsir ya moja kwa moja
Mama watoto wangu ndoto zake nazo huwa ni kweli kabisa,tena kuhusu misiba ndio balaa,kuna wakati aliniambia ameota kuna msiba kwetu na kweli kesho yake napata taarifa ya msiba
Binafsi nikiota kitu nakipata basi ujue sipati,yaani ni vise versa,,kwa mfano kuna siku niliota boss wangu ananipa hela mingi,na ikatokea situation nikahitaji hela ile kumwambia alinitosa katoa sababu kibao,,,kuna mchongo wa kazi ulikuwa na connection nzur ilikuwa ni swala la kuingia mzigoni,nikaota nipo kazini tayar matokeo yake sikupata hiyo kazi
Sema uki -hold power usiitumie vibayaKuhusu spiritual awakening, nina ufahamu kdgo, pia nitazidi kujifunza kutokana na hayo uliyo nieleza mkuu, vyema sana.
Yani ww n kama mm tu! Days be4 hili tatizo nilikuwa naota hadi mambo ya kesho yangu yatakuwaje, nitakutana na nan au nitafanya nini au nini kitatokea kesho au siku za mbeleni. Na ndoto zangu zilikuwa very straight! Hadi shule nilikuwa naota hadi mitihan kuwa swali fuln nitalikuta kwenye paper. Kuna kipindi niliambiwa na jamaa yangu kuwa ndoto nazoota niwe naziweka siri yani nisiwe nawambia watu kwa madai kuwa kufanya hivyo najiweka hatarini sana na nguvu za giza. Nilimpuuza ila baada ya saiz kushindwa kukumbuka chochote nimeanza kupata mashaka. Mm sasa hivi naweza kuota ndoto uck nikakaa kitandani kabisa ili niihifadhi hiyo ndoto ila nikilala tena nikaamka hata nifanyaje sikumbuki kabisa. Nitakumbuka niliamka uck ili niihifadhi ndoto hiyo lkn wapi. Wengine humu mnaweza kudhan hii haiwezekani ila mm ndiyo hali niliyofikia. Saiz ili niikumbuke ndoto ambayo nikiota uck nikabahatika kuamka uck huo huo basi lazima niihifadhi kwa njia ya maandishi🤔, amini kila kitu kiliumbwa kikiwa na maana yake! Hakuna kilichoumbwa alafu hakina maana. Ukiona hakina maana basi ujue ww ndo hujui maana yake.Sivuti mjani, ndoto naota ila nikiamka ndyo sikumbuki
Ngoja nikairudie ndoto yangu 😂Hiyo ni vice versa....
It is a very good omen to see coins in a dream—they symbolize good luck, wise decisions, harmony, and good opportunities. It also indicates that the dreamer will reap the rewards of his/her hard work. On the other hand, seeing paper money indicates anxiety, greed, worries, and selfishness.24 Oct 2023
Yaani ulizima maono yako kwa pombe,,ulikwama wapi mpendwaInawezekana wao huwa hawaoni wala kupata chochote katika ndoto.
Mie kuna kipindi ilikua ni zaidi ya ndoto asee ile no maono, sema nikawa nikinywa pombe inakua haitokei tena, possible niliharibu mwenyewe....nilikua naota vitu kesho yake ni kile kile nilichoona ndotoni.
Ok goodMie naota halafu zinakua na maana kabisa, yani nnayoyaota yanatokea....
Nilishajifunza kitambo huwa sipuuzii ndoto zangu kabisa. Kuna siku niliota ugomvi yani kila nilichokiota kesho yake kilikua kama nilivoona ndotoni.
Safi sana,,uko vizurNachokiona kwako ndoto zinazotimia ni zile symbolic dreams
Ila Mimi kwangu tofauti nikiota jambo Kama kazi , lazima niipate
Na nikimuotea MTU jambo kuwa katoboa lazima atoboe hii huwa ni kawaida Sana.
Pia wakati nasoma ilikuwa inanitokea Sana .
So Mimi symbolic dreams na dreams za kawaida zote huwa zinaleta majibu sahihi.
Sio KUKEMEA. Ni KUJIZATITI.kuzidisha maombi wakati wa kulala na kukemea
Uko kwenye hatari kubwa,Habari za asubuhi wadau
Kama kichwa cha habari kinavyo sema. Nina uhakika kila siku naota ndoto nikiwa usingizini, lakini cha ajabu ni kwamba nikiamka tu asubuhi sikumbuki ndoto hata moja.
Ni muda mrefu sina kumbukumbu ya ndoto yoyote ile, naota ndoto zaidi ya tatu lakini asubuhi ifikapo nikijaribu kukumbuka nashindwa.
Hili ni tatizo au ni hali ya kawaida tu? Ni zaidi ya miaka mitatu sasa nimekuwa na hali hii. Nifanye nini?
Lala tena uote unakimbizwa na mijoka 🤣🤣🤣🤣Ngoja nikairudie ndoto yangu 😂
Anajua meditation ni nini?Tenga mda wa kufanya meditation kila siku angalau mara mbili, kwa mda usiopungua dakika 30 utakumbuka kila kitu .
Yani ww n kama mm tu! Days be4 hili tatizo nilikuwa naota hadi mambo ya kesho yangu yatakuwaje, nitakutana na nan au nitafanya nini au nini kitatokea kesho au siku za mbeleni. Na ndoto zangu zilikuwa very straight! Hadi shule nilikuwa naota hadi mitihan kuwa swali fuln nitalikuta kwenye paper. Kuna kipindi niliambiwa na jamaa yangu kuwa ndoto nazoota niwe naziweka siri yani nisiwe nawambia watu kwa madai kuwa kufanya hivyo najiweka hatarini sana na nguvu za giza. Nilimpuuza ila baada ya saiz kushindwa kukumbuka chochote nimeanza kupata mashaka. Mm nadhan n ww mtoa post pri max. Mm sasa hivi naweza kuota ndoto uck nikakaa kitandani kabisa ili niihifadhi hiyo ndoto ila nikilala tena nikaamka hata nifanyaje sikumbuki kabisa. Nitakumbuka niliamka uck ili niihifadhi ndoto hiyo lkn wapi. Wengine humu mnaweza kudhan hii haiwezekani ila mm ndiyo hali niliyofikia. Saiz ili niikumbuke ndoto ambayo nikiota uck nikabahatika kuamka uck huo huo basi lazima niihifadhi kwa njia ya maandishi🤔, amini kila kitu kiliumbwa kikiwa na maana yake! Hakuna kilichoombwa alafu hakina maana. Ukiona hakina maana basi ujue ww ndo hujui maana yake.
Ata gugo mkuuAnajua meditation ni nini?
Hiyo ni kukanyaga tu na kuua hakuna kukimbia.Lala tena uote unakimbizwa na mijoka 🤣🤣🤣🤣
Shukran kaka, Mungu atubariki sote.Ubarikiwe, na Mungu akusaidie kufaulu kupata ukiombacho. Amen
Yani....ila haijaisha kabisa inatokea japo sio mara nyingi kama kipindi hicho nikilala tu naota vitu kesho vinatokea.Yaani ulizima maono yako kwa pombe,,ulikwama wapi mpendwa
duh pole sana,,mimi niliota mara ya kwanza nmepoeza viatu na kwel nikasimamishwa kazi😄🙌🏾 nkaomba kwa imani yangu nkarudshwa .......... yaani ni patashika nguo kuchanikaAfadhali wewe ulikimbuka, je mimi kama niliwahi ota nimepoteza hadi soksi na sijakumbuka, hapo si noma kabisa