Ni muda sasa sijawahi kumbuka ndoto yoyote niliyoota

Ni muda sasa sijawahi kumbuka ndoto yoyote niliyoota

Sio kumuelekea Mungu, ni kujielekea mwenyewe.

Huhitaji kumuelekea Mungu popote, you only need to EXERT your own power and go deep within.

Nimekwambia hapo ukiona huoti ndoto kuna uwezekano watu au viumbe fulani au nguvu fulani ya kiteknolojia WANAZITEKA fahamu zako au WANAFUTA KUMBUKUMBU ZAKO. They hijack your memory and your power to see.

Na hii ni kwa sababu UMEWARUHUSU kwa kujua ama kwa kutokujua.

Sasa FUTA HIYO RUHUSA na Uiondoe kabisa.

QUASH IT AND NULLIFY IT in its entirety and FORTIFY YOURSELF.

TAKE CHARGE OF YOUR LIFE AND BECOME THE ONE IN AUTHORITY.
NONDO ngumu sana hizi, zipo imara sana. Japo najitahidi kuelewa na nitafanya hivyo
 
I think we forget our dreams really quickly after we wake up because dreams happen in the same part of our brain that handles muscles.

As soon as you wake up and start moving, the memories of the dream get crowded out by your muscles doing stuff.
So after how long the memories of the dreams are crowded out by muscles
 
Kuna Uzi upo hapa JF waweza utafuta andika Tahajudd (meditation) umeandikwa na Mtambuzi

Utajifunza aina mbalimbali za kufanya meditation

Kiufupi itakusaidia Sana kuamsha nguvu zako za kundarini au kiroho

Kama upo DSM amka saa nane au tisa utaona akili yako itavyokuwa nyepesi na mambo yaliyojufunga yatafunguka.

Cosmic power inachilia mida hiyo
Yaani nyuzi za meditation ndio zilinifanya ni fall in love na jf,,mwisho wa siku nikawa mwanachama
 
.....Sasa umejuaje uliota, na huku unasema hukumbuki?
 
.....Sasa umejuaje uliota, na huku unasema hukumbuki?
😂😂Yan unaamka unatoka jasho na unauhakika ulikua kwenye varangati ila ndo hukumbuki kivipi ,,moyo upo mbio mbio yan
 
Kiufupi meditation ni ile hali ya kuwa na utulivu kiasi kwamba huwazi chochote kile kifupi unayeyusha mawazo yako,,yaani hakuna wazo linalo kuja kabisa hakika ni experience nzur sana unahisi ukimya wa hali ya juu sana,,yaani it's just you and your self

Mwanzoni itakuwa ngumu kufikia hali hiyo lkn with practice utakuwa vizur,si lazima ukae mikao fulani wanayoshauri wengi,unaweza ukawa umelala chali au umekaa kwenye kiti

Unaweza ukawa unatembea barabarani hauwazi chochote yaani ni macho tu yanaona lkn huna mawazo kabisa

Iko poa sana
 
.....Sasa umejuaje uliota, na huku unasema hukumbuki?
Nikiwa nimelala najihisi au kuona nipo kwenye ndoto kabisa, na nikishtuka najaribu kukumbuka niliota nini ila siwez.
 
Back
Top Bottom