Ni muda sasa umefika makanisani kuwe na bar ndogo za kunywa pombe, waumini wanywe pombe kusuuza nafsi,

Mimi sina hasira, pombe si chukizo. Ulichoandika pale juu ni ujinga, upuuzwe.
kama sio chukizo basi hakuna haja ya kuchukia bali usapoti kuwe na mini bar makanisani kwa waumini kunywa kilichoruhusiwa.

Idea ya design nakupa bure kabisa

 
Kwamba kila kinachosapotiwa Kanisani kiletwe kiande kuseviwa?, Nasisitiza, wewe upuuzwe.
Nilisikia ma askofu wanaokunywa pombe aina ya mvinyo divai wakati wa ibada, ni kweli ???
 
Katika mambo niliyojifunza ni kumuogopa Mungu na kukufuru maneno yake. Ni kheri kukaa kimya kuliko kua mjuzi wa kila jambo hasa linalohusu Imani.

Mungu wa imani ipi mana dunia hii kila imani ina mungu wake so ukitaja mungu useme mungu wa imani ipi aogopwe
 
Lkn kama niliwahi kusikia Mafaza wanakuaga nazo mle kwenya mafriji[emoji16][emoji16][emoji16] Wanakunywaga na Sisters
Kweli kabisa
Niliwahi ona kreti kadhaa zinaenda nyumba wanayokaa masisters na mafaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…