Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
😂😂😂si bure umelogwa wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂si bure umelogwa wewe
kama sio chukizo basi hakuna haja ya kuchukia bali usapoti kuwe na mini bar makanisani kwa waumini kunywa kilichoruhusiwa.Mimi sina hasira, pombe si chukizo. Ulichoandika pale juu ni ujinga, upuuzwe.
Kwamba kila kinachosapotiwa Kanisani kiletwe kiande kuseviwa?, Nasisitiza, wewe upuuzwe.kama sio chukizo basi hakuna haja ya kuchukia bali usapoti kuwe na mini bar makanisani kwa waumini kunywa kilichoruhusiwa.
Idea ya design nakupa bure kabisa
View attachment 2774866
Bado mtasema yote na bado,kudaadekiUnywe bia mbili utoe nishai na kuacha kudanganyana mmeokoka.
Uliwahi kuona Mkatoliki anahangaika na mbuzimawe?Ninyi ndiyo kila dakika kuanzisha habari za Wakatoliki wakati wao wanajitafunia pua na masikio ya nguruwe tu.Bado mtasema yote na bado,kudaadeki
Nilisikia ma askofu wanaokunywa pombe aina ya mvinyo divai wakati wa ibada, ni kweli ???Kwamba kila kinachosapotiwa Kanisani kiletwe kiande kuseviwa?, Nasisitiza, wewe upuuzwe.
kama wewe tu😂Wewe ndio yule anayeingia Jf akiwa bar 🤣🤣
Tena niko kupiga karaoke wananishangilia mbaya hapa wanasema nina sauti nzuri ya kumtoa nyoka pangoni 🤣🤣🤣🤣kama wewe tu😂
CHAI KUBWAnina sauti nzuri ya kumtoa nyoka pangoni
Kataa hivo hivo mpk siku ukinisikia nipo na kwevo kwa zombie ndio utaamini 😂😂😂😂CHAI KUBWA
Huyu asizingatiwe.Nilisikia ma askofu wanaokunywa pombe aina ya mvinyo wakati wa ibada, ni kweli ???
Katika mambo niliyojifunza ni kumuogopa Mungu na kukufuru maneno yake. Ni kheri kukaa kimya kuliko kua mjuzi wa kila jambo hasa linalohusu Imani.
Kweli kabisaLkn kama niliwahi kusikia Mafaza wanakuaga nazo mle kwenya mafriji[emoji16][emoji16][emoji16] Wanakunywaga na Sisters
Ni mimi kweli au umenifananisha mkuu?Switihat..
Kwa kweli njoo ukazie na ile avatar yako umeegemea ukutani, nimeimisi sana ule mzuka wake....