Ni muda sasa wa kuachana na Robertinho, na ni muda wa kuleta kocha wa pira tulilolizoea!

G4rpolitics

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
4,369
Reaction score
5,248
Hapo alipofikia inatosha, tumeishi maisha ya tabu sana hizi siku za huyu kocha, ni muda sasa Simba irudi kwenye biriani na sambusa, papatu papatu sasa imetosha, wachezaji wetu wanavyocheza hawana spidi, unaweza kusema ndo wameanza ligi, wazito kweli hata kufanya maamuzi, sasa imetosha

Ahsante Robertinho!
 
Hapo alipofikia inatosha, tumeishi maisha ya tabu sana hizi siku za huyu kocha, ni muda sasa Simba irudi kwenye biriani na sambusa, papatu papatu sasa imetosha, wachezaji wetu wanavyo cheza hawana spidi, unaweza kusema ndo wameanza ligi, wazito kweli hata kufanya maamuzi, sasa imetosha, Ahsante Robertinho!
Nakazia,hakika ni wakati muafaka wa kumuonesha mlango wa kutokea.
Timu inacheza mpira mbovu ucoeleweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo alipofikia inatosha, tumeishi maisha ya tabu sana hizi siku za huyu kocha, ni muda sasa Simba irudi kwenye biriani na sambusa, papatu papatu sasa imetosha, wachezaji wetu wanavyo cheza hawana spidi, unaweza kusema ndo wameanza ligi, wazito kweli hata kufanya maamuzi, sasa imetosha, Ahsante Robertinho!
Robertinho ni bonge la kocha tumpe muda [emoji2957]
 
Hapo alipofikia inatosha, tumeishi maisha ya tabu sana hizi siku za huyu kocha, ni muda sasa Simba irudi kwenye biriani na sambusa, papatu papatu sasa imetosha, wachezaji wetu wanavyo cheza hawana spidi, unaweza kusema ndo wameanza ligi, wazito kweli hata kufanya maamuzi, sasa imetosha, Ahsante Robertinho!

Mpaka Muda huu hakuna cha Kumhukumu...

NBC kacheza mechi 3,kashinda zote

CAF CL Katinga Makundi......

Ana Unbeaten 26

Inspite ya Majeruhi kadhaa kipindi hiki kama Manula,I Inonga na Kramo.

Nchi ina Waja ambao ni wazito sana...!
 
Wenzio hawataki papatu papatu, wanataka biriani kama la Gamondi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo alipofikia inatosha, tumeishi maisha ya tabu sana hizi siku za huyu kocha, ni muda sasa Simba irudi kwenye biriani na sambusa, papatu papatu sasa imetosha, wachezaji wetu wanavyo cheza hawana spidi, unaweza kusema ndo wameanza ligi, wazito kweli hata kufanya maamuzi, sasa imetosha, Ahsante Robertinho!
Simba imepoteza utambulisho wake....au labda wachezaji wameshachoka ?
 
Hapo alipofikia inatosha, tumeishi maisha ya tabu sana hizi siku za huyu kocha, ni muda sasa Simba irudi kwenye biriani na sambusa, papatu papatu sasa imetosha, wachezaji wetu wanavyo cheza hawana spidi, unaweza kusema ndo wameanza ligi, wazito kweli hata kufanya maamuzi, sasa imetosha, Ahsante Robertinho!
sishabikii simba, ila nilipenda leo ishinde walau tuwe na timu mbili. ila ukweli ulio wazi ni kwamba, robertino anabahatisha, sio kocha mzuri, tunaitaka simba ilee inayotisha.
 
Back
Top Bottom