G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Hapo alipofikia inatosha, tumeishi maisha ya tabu sana hizi siku za huyu kocha, ni muda sasa Simba irudi kwenye biriani na sambusa, papatu papatu sasa imetosha, wachezaji wetu wanavyocheza hawana spidi, unaweza kusema ndo wameanza ligi, wazito kweli hata kufanya maamuzi, sasa imetosha
Ahsante Robertinho!
Ahsante Robertinho!